je ni kweli wanawake wengi ni wagonjwa??

Mfano siku unamtongoza mwanamke why usimwambie siku ya kwanza asahau kuhusu pesa yako ili hizi kelele ziishe, tatizo mkitongoza mnakuja na swaga oooh mimi nina kampuni uwongo mwingi kuliko uhalisia wa maisha yenu
kipindi cha mtongozo unakuwa mpole kwa njia yoyote unataka umpate kwa hiyo unakuwa tayari kuhudumia changamoto zake za hapa na pale ili tu aone wewe ni wa maana kwake na kuweza kujipatia point tatu muhumu
 
Hapo ndio kwenye tatizo mwambie hali halisi ya maisha yako ajue anaweza ama la.
 
Ni kweli kamanda wanasema fasihi kazi yake ni kuburudisha na kuelimisha sasa humu tunaburudishana sasa jamaa sijui imekuwaje coz mimi mwenyewe navuta mida ya kuingia kazini mchana hapa
wengine weekends wanapumzika na wake zao we endelea kupga kazi/ wengne ofisi zao zinafunguliwa saa tatu na nusu na wana usafiri ni dakika kumi tu wapo ofisi pole sana kama upo moro ofisi Dar na huna usafiri; wengine wanaingia mchana saa nane, usikariri maisha; we mwenyewe umekuja huku kuchangia umepata wapi mda??? mpuuzi mpuuze abaki na upuuzi wake.. wewe nimeamua kukuelewesha kwa sababu hapa ni home of greater thinkers
 
Kumbe wanawake wengi wa siku hizi wanaumwa nilikuwa sijui ila nimechekaa sana nilivyosoma huu uzi ndio mana siku hizi sitaki kutongoza tongoza
Mwezi huu nimetongoza wanawake wasiopungua 20; ila kila lmtongozo wawili ndo wamenitolea nje kwamba straight foward kwamba haiwezekami nmekutana nao on sport kuchukua namba tu wanapata mtongozo so wanataka friendship kwanza ndo tuanze mahusiano kitu ambacho huwa na kikwepa sana maana mda wote wa urafiki kama inavyojulikana mwanaume ndo unaumia kutunza mnyama ambaye uli nyama yake/maziwa yake mpaka anone huku wadau wa zamani wanaendelea kujipigia tu huku eti ww anakusoma; hao wengine wawili hawana shida kabisa wao wanajiongeza wenyewe wanajua mwanaume anatakiwa apewe mzigo ndo kichwa cha juu kikae sawa kwa hawana shida kabisa Mungu awabariki sana; ila waliobaki tu wote ni wagonjwa mtu anakuambia ana malaria/UTI/ na kaugonjwa sijui gani na hajaenda hospital huku wewe ndo unatakiwa umtumie hela ya kwenda sasa sijui nisingemtokea asingeenda hospital na kipindi chote cha kuumwa wanataka wahudumie; ukipiga gharama za chapu unaona huu ni uwekezaji hewa maana ugonjwa ukiisha unaambiwa nipo kwenye siku zangu ngachokaaaaaaaaaa...
je ni kweli dada zetu nyie ni wagonjwa sana siku hizi au ndo njia rahisi ya kupata hela??
 
Hapo ndio kwenye tatizo mwambie hali halisi ya maisha yako ajue anaweza ama la.
yaani mahusiano ni kama unabeti sasa akianza kuhitaji kwako wakati hujaona hata future naye ni mradi hewa maana unaweza ukatumia hata milioni huku mtu anakuchukulia poa maana anaweza akatoka kuumwa akasema sina simu/ kodi na sio kwamba huna uwezo navyo ila unachokipata kwa wakati huo akiendani na gharama ulizotoa
 
Ni kweli kamanda wanasema fasihi kazi yake ni kuburudisha na kuelimisha sasa humu tunaburudishana sasa jamaa sijui imekuwaje coz mimi mwenyewe navuta mida ya kuingia kazini mchana hapa
tatizo watu wengine wanachukulia maisha kama kuna fomula fulani ndo wote tutumie kumbe killa mtu na namna yake; ndo maana unaweza kuta mtu mchana kla siku yupo ila ishu zake ni usiku tu...ila waswahili wataanza maneno kibao
 
Itakuwa ivyo mzee baba ila hivi viumbe kila siku wanabuni njia mpya ya kupiga pesa mwingine ukikutana nae atakwambia wiki ijayo sikukuu yangu ya kuzaliwa akikutana na mwingine ivyo ivyo wanawake wa sasa mzigo kabisa
mi naona ni njia yao ya kupga pesa maana wanajua hutachomoa
 
wengine weekends wanapumzika na wake zao we endelea kupga kazi/ wengne ofisi zao zinafunguliwa saa tatu na nusu na wana usafiri ni dakika kumi tu wapo ofisi pole sana kama upo moro ofisi Dar na huna usafiri; wengine wanaingia mchana saa nane, usikariri maisha; we mwenyewe umekuja huku kuchangia umepata wapi mda??? mpuuzi mpuuze abaki na upuuzi wake.. wewe nimeamua kukuelewesha kwa sababu hapa ni home of greater thinkers
Hahah huyo jamaa pumbavu. Ambao wana ajira za kubembelezea watu ndio wanawahi ofisini weekend, mzungu alieweka mapumziko sio chizi. Wahindi hawana masihara kwa kweli ye awahi stoo tu😂😂😂😂😂
 
MWANAUME ANAYEJISHUHULISHA YUPO OFISINI NA WENGINE KWENYE USAFIRI MIDA HII ANAWAHI KAZINI HANA MIDA YA KUPOST HUU USHUZI TENA ASUBUHI YOTE HII

VIJANA WA OLEVEL, VYUO NA WALENAOISHI KWA SHEMEJI ZENU NDIO NYUZI ZENU HIZI
Mkuu acha kukalili maisha wengine wapo likizo.
 
Hahah huyo jamaa pumbavu. Ambao wana ajira za kubembelezea watu ndio wanawahi ofisini weekend, mzungu alieweka mapumziko sio chizi. Wahindi hawana masihara kwa kweli ye awahi stoo tu😂😂😂😂😂
mpuuzi kweli hajui weekend imeanzia alihamisi hao ndo hawajui kazi na bata siku kama ya leo bado wanakomaa sasa sijui hela zao huwa wanapeleka wapi kama kila siku wanatafuta
 
Jitahidi wakati unamdanganya kua unampenda muwe mpo Kitandani au eneo linaloweza kuchezeka mechi.
 
Mfano siku unamtongoza mwanamke why usimwambie siku ya kwanza asahau kuhusu pesa yako ili hizi kelele ziishe, tatizo mkitongoza mnakuja na swaga oooh mimi nina kampuni uwongo mwingi kuliko uhalisia wa maisha yenu
Alafu me wengi wanashindwa kuelewa, mwanamke anayekupenda kweli hawez kukuomba hela au kukutangazia shida, ukiona ke anakutangazia shida na matatizo yake mwanzoni kabisa badi jua anakuchuna tu hana mpango na wewe. Na mara zote unachunwa k hupewi utazungushwa tu.. so jiongezeni badala ya kulia lia huku mnachosha
 
Hujahujaumbika acha kuwa kashifu dada zetu!!! kila mtu na afya yake na matizo yake ww hujui kesho yako
Mwezi huu nimetongoza wanawake wasiopungua 20; ila kila lmtongozo wawili ndo wamenitolea nje kwamba straight foward kwamba haiwezekami nmekutana nao on sport kuchukua namba tu wanapata mtongozo so wanataka friendship kwanza ndo tuanze mahusiano kitu ambacho huwa na kikwepa sana maana mda wote wa urafiki kama inavyojulikana mwanaume ndo unaumia kutunza mnyama ambaye uli nyama yake/maziwa yake mpaka anone huku wadau wa zamani wanaendelea kujipigia tu huku eti ww anakusoma; hao wengine wawili hawana shida kabisa wao wanajiongeza wenyewe wanajua mwanaume anatakiwa apewe mzigo ndo kichwa cha juu kikae sawa kwa hawana shida kabisa Mungu awabariki sana; ila waliobaki tu wote ni wagonjwa mtu anakuambia ana malaria/UTI/ na kaugonjwa sijui gani na hajaenda hospital huku wewe ndo unatakiwa umtumie hela ya kwenda sasa sijui nisingemtokea asingeenda hospital na kipindi chote cha kuumwa wanataka wahudumie; ukipiga gharama za chapu unaona huu ni uwekezaji hewa maana ugonjwa ukiisha unaambiwa nipo kwenye siku zangu ngachokaaaaaaaaaa...
je ni kweli dada zetu nyie ni wagonjwa sana siku hizi au ndo njia rahisi ya kupata hela??
 
Alafu me wengi wanashindwa kuelewa, mwanamke anayekupenda kweli hawez kukuomba hela au kukutangazia shida, ukiona ke anakutangazia shida na matatizo yake mwanzoni kabisa badi jua anakuchuna tu hana mpango na wewe. Na mara zote unachunwa k hupewi utazungushwa tu.. so jiongezeni badala ya kulia lia huku mnachosha
Hawawezi kujiongeza mpendwa
 
Back
Top Bottom