Je, ni kweli wanawake mna tabia hii?

Je, ni kweli wanawake mna tabia hii?

Eagle J

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
27
Reaction score
52
Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game...

Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote mnazptumia kujua maumbile ya kiume zikiashiria ukubwa au urefu.

Je ni kweli mna tabia hizi
 
Ndo shida ya kula ugali mkubwa na maharage mchana wa jua kali
Bora yeye kuna jirani hapa kapiga ugali na chai kashushia na mua hiyo ni asubuhi! Mchana kitu cha ugali wa muhogo na kachumbali ya pera ikichanganywa na nyanya chungu sahivi namuona anakula mchanganyiko wa matunda ila anapaka na blueband!! Na aliniomba nimuunge jf ndo naelekea kumuunga jiandaeni kumpokea
 
Sijaelewa kitu
Ni kuwa huwa mnapata tabu kuwa na me mpya hasa siku ya kwanza kuduu nae kwa kuhofia mkunyenge kuwa mrefu au mkubwa kwa imani ya kuangalia kidole gumba.. hua inaaminika ati sisi me unaweza kujua ukubwa wa dudu zetu kwa kuangalia size ya dole gumba.. so anauliza kuwa ni kweli huwa mnaofia...???

Napo hujaelewa..?
 
Nimekuelewa sasa

Binafsi sijawahi kujua kama kidole gumba cha mwanaume na uume wake vinahusiana....hata kuanza kufikiria maumbile yake kwa siku ya kwanza sijawahi
 
Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game...

Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote mnazptumia kujua maumbile ya kiume zikiashiria ukubwa au urefu.

Je ni kweli mna tabia hizi
Yamekukuta pole
 
Back
Top Bottom