MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,125
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwehu! weeBora yeye kuna jirani hapa kapiga ugali na chai kashushia na mua hiyo ni asubuhi! Mchana kitu cha ugali wa muhogo na kachumbali ya pera ikichanganywa na nyanya chungu sahivi namuona anakula mchanganyiko wa matunda ila anapaka na blueband!! Na aliniomba nimuunge jf ndo naelekea kumuunga jiandaeni kumpokea
Dah! Kwani nimekosea wapi..?
Ndo shida ya kula ugali mkubwa na maharage mchana wa jua kali