Je, ni kweli wanaume wote wanamichepuko?

Je, ni kweli wanaume wote wanamichepuko?

1477675005492.png
 
Wanaume ni zaidi ya unavyowajua, wana mambo kweli mfano rahisi tu angalia sasa hivi ni wanaume wangapi wamekutongoza utapata jibu la uhakika.
 
Hapana. Hiyo ni dhana tu.. Na inategemea na aina ya mwanaume. Wako wastaarabu ambao hawana hayo madudu.
 
Back
Top Bottom