Je, ni kweli wanaume wote wanamichepuko?

Je, ni kweli wanaume wote wanamichepuko?

takwimu zinaonesha wanaume ni wachache kiidadi ukilinganisha na wanawake so unategemea mmeo takuwa na ww tu na wao wanawake wengne wataolewa na nani?
jamai wadada kuweni na huruma mushee bwana na wenzenu
 
Sidhani kama ni kweli, sio wote wenye tabia za kuwa na michepuko. Wengine wameridhika na wake zao, hawana mda wa kukimbizana na watoto njiani. Usiumizwe na maneno ya co-workers.
 
Ndugu wala usipate presha ukajiweka roho juu kisa ni hao wafanyakazi wenzako wanaosema wana michepuko. Kuchepuka ni tabia ya mtu kuna ambao wanaendeshwa na matamanio ya miili yao na ndio hao wanaokwambia wana michepuko.

Pia wapo wanaojiheshimu na kuridhika kwa walivyonavyo. Cha muhimu kudharau na sio kuumia.
 
Utafiti huu utakuwa wa hapa hapa Tanzania, Africa Mashariki na baadhi ya nchi za Africa.

*Kuna baadhi ya nchi hasa ulaya na india wanatambua thamani ya ndoa
*Kuna baadhi ya nchi ukichepuka utaadhibiwa kwa sheria za dini mfano Saudia, Iran nk
*Nchi nyingine huingii gest mpaka cheti cha ndoa na rushwa ya kufoji cheti hakuna.
*Kuchepuka pia ni tabia ya mtu eg. Mimi hapa sichepuki njoo kwangu[emoji1]
 
Wanaume kuwa au kutokuwa na mchepuko inasababishwa na huyo mke ulienae....nadhani nimeeleweka....
 
  • Thanks
Reactions: irk
Kuna vitu ukiangaika kuvifuatilia unajichosha tu,....bora ufanye mambo mengine
 
Salam wakubwa

Hakika siku ya Leo imekuwa Mbaya Sana kwangu. Mpk Sasa ninamawazo sna

Leo nilipokuwa kibaruani tulikuwa tukipiga story me na ke tukibadilishana mawazo. Kwa kifupi story zilihusu Uaminifu. Wanaume wote walisema kila mwanaume anamchepuko imeniuma sana
Unapaswa ujue kuwa hakuna anayejua ukweli kuhusu mtu mwingine,ukikutana na anayesema kuwa anajua kuhusu mtu mwingine huyo ni muongo....

Pia, unawezaje kuanza kusikiliza maneno kutoka kwa watu kuhusu mtu mwingine?

Wakisema wewe ni jini utakubali kwasababu wamesema?
 
Ni kweli
Maana wanawake wa siku hizi mnadharau sana
Acha tukaliwazwe na michepuko yetu

87f9df5e36c39395d0f4163c15139e82.jpg
Wanawake wana dharau, hao wanaoenda kuwaliwaza ni wanaume wenzenu?
 
Baby k , bado kuna wanaume waaminifu, watu wakishakuwa wahuni basi wanadhani na wenzao ni wahuni kama wao.
 
Engineer kwani we unachepukaga?

zamani... sema nimepunguza, baada ya demu wangu kuwa harsh.. ashanikuta na scenario kama mbili hivi za kuchepuka.. tena na ex-gf... Daaah halafu bado akanisamehe... nafsi ikanisuta, nimeacha.....
sema mpaka namie nimtoe binti wa mtu bikra ndipo nitatulia.
Asante

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Back
Top Bottom