Je, ni kweli wanaume wote wanamichepuko?

Je, ni kweli wanaume wote wanamichepuko?

Take it easy mdada! Dunia hii bado inawatu waaminifu na hilo halina ubishi!! Mwamini uliyenaye na maisha yaendelee!! Maneno ya coworkers wako siyo unabii!!
Ni kweli kabisaa huwezi jua ladha ya mchungwa kw kula tunda lake moja wanaume ni wengi na utofauti upo kama sote tulivyo binadamu lakini haimaanishi wote ni wa kiume au ni wakike tu
 
basi itakua una umri wa miaka 17. [emoji23][emoji23]
Hapana mkuu. Kuwa na michepuko haikufanyi kuwa na amani kweny mahusiano yako.

NI KUJIAMINI NA KURIDHIKA NA ULICHO NACHO.

Utatembea na wangapi km kila mtu unataka kumpanda?
 
Kwa hisani ya kwenda na wakati na uvaaji wa kisasa, michepuko sio dili tu ni halali mbele za Muumba.wanawake wanashindana kuvaa nguo za kuonyesha yao maumbile kwa sbb gani? Kutochepuka ni ishara ya kutokamilika kwa mwanaume.
 
Salam wakubwa

Hakika siku ya Leo imekuwa Mbaya Sana kwangu. Mpk Sasa ninamawazo sna

Leo nilipokuwa kibaruani tulikuwa tukipiga story me na ke tukibadilishana mawazo. Kwa kifupi story zilihusu Uaminifu. Wanaume wote walisema kila mwanaume anamchepuko imeniuma sana
Si wote wanao... mfano mimi hapa sina hata mmoja..
 
Sio kweli kila mwanaume ana mchepuko mi huwa naamini mwanaume shupavu ni yule anayeweza kuwa na mwanamke mmoja pekee
 
Kwani akichepuka inaisha kama inaisha wenda we ungekuta kovu we amini vyovyote vile haipungui hiyooo
 
Mmh!?........mwanamke akiwa mkalimu kwa mumewe,akijua kupika na akijua kutoa papuchi vizuri na kila muda mume wake atakapo hitaji,MWANAUME HAWEZI CHEPUKA........mi nkipataga kadem kanakojua mambo ya kugegedana vizuri hadi huwa nasahau kutongoza
 
Salam wakubwa

Hakika siku ya Leo imekuwa Mbaya Sana kwangu. Mpk Sasa ninamawazo sna

Leo nilipokuwa kibaruani tulikuwa tukipiga story me na ke tukibadilishana mawazo. Kwa kifupi story zilihusu Uaminifu. Wanaume wote walisema kila mwanaume anamchepuko imeniuma sana
aliyeko kwenye avatar yako akichepuka ni halali yake
 
Wanaume rijali wote wako na mahusiano na mwanamke zaidi ya mmoja
 
Hawa mama zetu wa humu, Mungu atusaidie tu. Ukii-flip hii mada upande wao, reasoning yao itakuwa "kwani tuna-cheat na wanawake wenzetu?".

Another issue, it seems y'all have established that all men cheat. Then why the heck do you act surprised and upset when you find out we're delivering what's expected of us?
 
Back
Top Bottom