Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,719
- 98,897
Hongera mkuuSiyo kweli mkuu. Mm tangia tuingie kweny mahusiano na mwenzangu sijawahi kuchepuka
Mungu akusaidie uwe na moyo huo huo
Hongera mkuuSiyo kweli mkuu. Mm tangia tuingie kweny mahusiano na mwenzangu sijawahi kuchepuka
HehehePamoja na mimi
Mimi na Mzee wako nadhani ndio wanaume pekee tusio na michepukoHehehe
Na wewe tu
Wee acha hizoWanaume wote wana michepuko(ukimtoa baba angu)
Amina dada yangu. Najua maumivu ya usaliti yanavyotesa.Hongera mkuu
Mungu akusaidie uwe na moyo huo huo
you wil do it one daySiyo kweli mkuu. Mm tangia tuingie kweny mahusiano na mwenzangu sijawahi kuchepuka
No! It will never happenyou wil do it one day
Wacha atoswe na Tabia zake mbaya mjaa laana huyo.no wonder hajabarikiwa nafac tena. Wanawake wengine nuksi tu wanaume kujitakiaHii picha imenikumbusha tukio moja nalolijua kabisa,tena mtu mkubwa na anayejulikana na alishawahi kushika cheo kikubwa ktk chama dola
Alikuwa akienda nyumba ndogo huyo mdada anampa ma-care km yanayoonekana hapo kwenye picha (anavuliwa viatu,anachemshiwa maji ya kuoga na kupelekewa bafuni had kuogeshwa,msosi anaandaliwa n.k)
Kiukweli jamaa ilibidi alasimishe ule mchepuko,ss hv wamezaa watt na nyumba kajengewa na mabiashara juu hadi alipewa political channel sema ndio hvyo wananchi walimtosa uchaguz wa 2015
Ni kweli
Maana wanawake wa siku hizi mnadharau sana
Acha tukaliwazwe na michepuko yetu
![]()
ushauli mbovu huu hasa vijiweniNi kweli. Wewe kama huna mchepuko mumeo/mchumba wako anaye.
Sasa ili kufanya ngoma draw nawe kuwa mchepuko wangu!