Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,254
Reaction score
4,466
Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa!

Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni

Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
 
Kama ilivyo kuwa Brazil Lula alishinda uraisi akiwa gerezani na kwa Lisu itakuwa hivyo ndio maana wanaikaba CHADEMA kila Kona,Lisu mhaini,mashahidi wa kificho,kesi ya ndani iliyo funguliwa na wazanzibari,mahakama kusimamisha shughuli zote za chama
Chadema bado Ina nguvu wajaribu tu kuruhusu mikutano watapata jibu
 
Back
Top Bottom