Je, ni kweli viongozi wa Yanga wana utoto na ujinga? Majibu ni haya

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia page yako kwenye insta unawaambia wanayanga twendeni uwanjani, wewe unabandika listi ya kikosi kwenye page, mnatia mafuta kwenye basi, mnakwenda uwanjani na mashabiki wenu wakati mapema tu mshaambiwa mechi hakuna, huo ni utoto.

Kesho yake mnabeba basi mnatia mafuta mnakwenda Bunju kutaka kucheza na Simba kama sio utoto ni nini huo.

Kumtuma Haji Manara akidanganya anaenda kutangaza foundation yake na kumzungumzia Maimartha kumbe katumwa kumtukana Rais wa TFF kama sio utoto ni nini.

Kwenda kushtaki CAS wakati unajua kabisa kuwa mechi iliahirishwa mapema kabisa na wewe barua uliipata kama sio utoto ni nini.

Kukaa kikao chenu cha utendaji na kutangaza hamtacheza tena na Simba wakati mnajua kabisa kuwa Simba akishika nafasi ya kwanza na nyie mkashika nafasi ya pili, ikabakia mechi moja tu ya Simba na Yanga na Yanga akishinda bingwa, na kwa vyovyote mtaenda kucheza hiyo fainali siku hiyo kama sio utoto ni nini huo.

Rais wenu wa klabu kuwa na tabia za kishamba za kuingia uwanjani kila mechi, hata kule kwenye kombe la Ramadhan nako amekuwa akifanya hivyo hivyo kujionyesha onyesha kwa watu huo nao ni utoto wa kiwango kile kile cha kimataifa.

Ujinga ni nini? Ujinga sio tusi.Mwalimu Nyerere alidefine ujinga na upumbavu.Mjinga ni mtu asiyejua kitu, akielimishwa anaondokana na ujinga, mpumbavu ni idiot, huyo ni yule ambaye ametoka kwenye ujinga lakini bado haonekani kuwa mwelewa, yaani amevuka kiwango mtu mpumbavu.

Mamlaka ya soka nchini lazima ifike hatua iheshimiwe, hakuna mkubwa sasa hivi, Sigara alishushwa daraja kwa sakata la Peter Manyika na wakati ule Sigara alikuwa mkubwa vile vile, suseni lakini Karia hakukosea.

Acheni utoto na ujinga.Alaaa
 
we nawe ni mtoto...
 
Japo mm ni shabiki wa Dar Young Africans

Nakiri wazi kuwa timu yetu baadhi ya viongozi wana ujinga mwingi sana,

Na si ajabu ndo maana makocha wetu wanaoondoka klabuni wanatoa lugha za kutudhihaki kama ile ya Luc Aeymael aliyesema sisi Yanga hatujui mpira bali tunabweka bweka kama Manyani bababababaaa

Kila kesi inayoenda CAS tunaangukia pua kuanzia kesi ya Morrison, Bigirimana, Luc Aeymael, Lazarus Kambole, Okra etc

Lakn ukiangalia wenzetu Kolo, Azam waanachana na wachezaji na Husikii kesi popote pale

Mwanasheria wetu Patrick Simon alituaminisha kabisa eti Yusuph Kagoma ni mchezaji wetu halali, lakn kumbe ilikuwa upumbavu mtupu
 
Uongozi wa Yanga unawajibika kwa kifo cha yule shabiki aliyekufa uwanjani kwa kupigwa na shoti ya umeme. Hii ni jinai iliyosukumwa chini ya kapeti.
 
Back
Top Bottom