Je, ni kweli ukioa ndio mishe zako zinafunguka?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Wale ndugu zangu wa kataa ndoa, ndoa ni utapeli. Naomba mtupishe kidogo tuongee na wakubwa?

Leo nilikuwa nimepanda dala dala kulikuwa na mdaharo usio rasmi (mabishano) baina ya abiria mada ilikuwa ni mwanaume ukioa Kuna namna flani maisha + zinafunguka Kwa ukubwa

Mzungumzaji mmoja akasema: kiukweli ukioa na ukapata mtoto Kuna namna unapata mibaraka

Ila Kwa macho yangu ya kijasusi ninavyowaona hawa watu ni kama wapo wapo tu

NB: Je, ni kweli ukioa, maisha yanafunguka. Wale wazee wa kataa ndoa someni comments tu
 
Wale ndugu zangu wa kataa ndoa, ndoa ni utapeli.....naomba mtupishe kidogo tuongee na wakubwa??

Leo nilikuwa nimepanda dala dala kulikuwa na mdaharo usio rasmi ( mabishano ) baina ya abiria mada ilikuwa ni mwanaume ukioa Kuna namna flani maisha + zinafunguka Kwa ukubwa

Mzungumzaji mmoja akasema : kiukweli ukioa na ukapata mtoto Kuna namna unapata mibaraka

Ila Kwa macho yangu ya kijasusi ninavyowaona hawa watu ni kama wapo wapo tu

NB: Je ni kweli ukioa ...maisha yanafunguka ...wale wazee wa kataa ndoa someni comments tuView attachment 2820735
90% zinafungwa kabisa 💯. Fanya research ulipo wasomi wengi wenye degrees walioowa, wengi wanaishia kuwa na kagari na kajumba ndo hapo wanasema wamewin maisha. Labda aibe uko ofisini Kama Kuna loopholes ya wizi.
 
Wale ndugu zangu wa kataa ndoa, ndoa ni utapeli.....naomba mtupishe kidogo tuongee na wakubwa??

Leo nilikuwa nimepanda dala dala kulikuwa na mdaharo usio rasmi ( mabishano ) baina ya abiria mada ilikuwa ni mwanaume ukioa Kuna namna flani maisha + zinafunguka Kwa ukubwa

Mzungumzaji mmoja akasema : kiukweli ukioa na ukapata mtoto Kuna namna unapata mibaraka

Ila Kwa macho yangu ya kijasusi ninavyowaona hawa watu ni kama wapo wapo tu

NB: Je ni kweli ukioa ...maisha yanafunguka ...wale wazee wa kataa ndoa someni comments tu
JICHANGANYE TU
 
90% zinafungwa kabisa . Fanya research ulipo wasomi wengi wenye degrees walioowa, wengi wanaishia kuwa na kagari na kajumba ndo hapo wanasema wamewin maisha. Labda aibe uko ofisini Kama Kuna loopholes ya wizi.
Kumiliki familia, nyumba, usafiri and financial freedom ndio achievement kubwa ya mwanadamu (wa kawaida) yoyote hapa duniani....
..mengine yote ni subsidiaries
Labda wewe mwenye ndoto za Elon Musk unaweza kutufafanulia "kuwin maisha ni nini?
 
Nafikiri tuongelee uhalisia zaidi kuliko nadharia na imani.

Ukioa, yale majukumu yanakupa ari ya kutafuta zaidi ndipo kipato kinaongezeka. Tofauti na ukiwa single kile kidogo kinakutosha na unaridhika kwakuwa huna majukumu makubwa ya kukabiliana nayo.

Umeoa, na mtoto juu... zile reminder za diapers, maziwa na mara mtoto kaumwa bado bills kibao. Kichwa lazima kiwake moto.
 
Back
Top Bottom