Je, ni kweli ugali unadumaza Ubongo?

Je, ni kweli ugali unadumaza Ubongo?

Kwenye ugali tunatafuta wanga,hiyo protein ni kazi ya maharage,nyama,dagaa Na vingine. Kama ambavyo ukila wali au viazi unapata wanga tu.
Yani hapo ni kama umeenda benki umepewa hela, halafu unatupa noti za Sh 5,000.

Unasema unatafuta noti za 10,000 tu.
 
Kuna hii kauli ambayo inasikika sana, kwamba ulaji wa ugali unaopikwa kwa unga wa mahindi uliokobolewa (sembe) una madhara, je ni kweli una madhara ama sio vizuri tu kuula kwa sababu umepungua/umekosa virutubisho?
Kama una madhara kwa afya hayo madhara ni yapi?

Ningependa nijibiwe na wataalam ili tusiojuwa tupate faida.
 
nachojua panya hali mahindi yaliyokobolewa mengne sijui.....!
 
Mambo vipi wakuu!

Bila shaka mtakubaliana nami kuwa ugali ni chakula kikuu katika jamii nyingi barani Africa ingawa Marekani ndio inaongoza kwa kulima mahindi duniani lakin rekodi zinaonyesha ni kwa matumizi ya mifugo.Africa ndipo sehemu mahindi yatumika sana na mara nyingi mfululizo kwenye milo yote..Ni kweli kuna baadhi ya wanaume wanaamini kabisa ugali ni chakula pekee anachoweza shiba na kutosheka.

Kumekuwapo na fununua za muda mrefu na lawama nyingi zikielekezwa kwa UGALI kuwa ndio kisababishi cha waafrika kuwa matatizo mpaka leo. Wapinzani hao wa UGALI wanatodokeza kuwa kwenye ugali kuna chembechembe adui kwa ubongo wa mwanadamu hasa ile inaitwa Phytate ambayo inazuia zink, iron n.k. kuchukuliwa kutoka tumboni.

Kwa upande wa mwingine wapo wanadai hayo ni mashambulizi hatari na matokeo yake yatakuwa mabaya sana...

Je, ni kweli ugali unadumaza ubongo?

View attachment 1657689
Kula ugali, kwa maendeleo endelevu ya akili yako.
 
Back
Top Bottom