Je, ni kweli ugali unadumaza Ubongo?

Je, ni kweli ugali unadumaza Ubongo?

Tuwe serious kidogo....Nasikia wali(Cha mtume) uliitwa hivyo kwasababu haukuwepo kabla ya Muhamad??Yaani zamani hakukuwa na mpunga kabisa na ndiyomaana hata katika biblia ni ngano mikate samaki zimetajwa hakuna wali...
Sasa siku moja mtume alipata wageni wengi na hakuwa na Chakula kwahiyo aliomba kikashushwa kwenye masinia kwa mfumo wa wali....Na ndo hapo zao la wali liliingia duniani......Hii story nineisikia sana ni kweli?
 
Hapana wali ulikuepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu waliutambua km magugu maji ya mbegu au water oats au zizania , namaanisha mchele mwitu sio hii ya sasa ya wachina
 
Angalia tu akili za waafrika weusi walio wengi...we unazionaje?
Kwanza ugali wengine tulikuwa tunakula sababu ya umaskini tu..tuliuita kila aina ya jina lakini wap...'nguna'..tofali..bondo
 
Mtu anakula ugali, mchicha, nyama , maharage na soda kwa pamoja ,inatakiwa ule kimoja kimoja
 
yaani hapa nakula zangu ugali na kinyama changu na kachumbari pembeni, na nyie mnaniletea habari za kudumaza sijui akili, kwa utamu ninaupata hapa hizo akili zidumae tu kwanza sina kazi nazo...!

Sema Ukweli utamu unaupata kutokana na mboga ila sio ugali.

Jaribu kula ugali na kachumbari peke ake.

Hakuna ugali mtamu ila mboga ndio tamu.
 
Huku bora tushibe tu basi tukisubiri umri kuisha vitandani,ila utafanyaje sasa na ndo mazingira yametulea hivyo na hali ya maisha iko vbaya wacha watu wale matofali hayo ,tutafika tu
 
Zaidi ya tatizo la phytates, ugali hauna virutubisho.

Umejaa starch mostly. Wanga. Unatupa energy tu isiyo na virutubisho.

Especially ugali wa mahindi yaliyokobolewa.

Protein karibu yote tunaitupa kwa kukoboa mahindi.

Ugali wenye protein ni wa dona. Wa mahindi ambayo hayajakobolewa.

Na huu watu wengi hawaupendi.
Kwenye ugali tunatafuta wanga,hiyo protein ni kazi ya maharage,nyama,dagaa Na vingine. Kama ambavyo ukila wali au viazi unapata wanga tu.
 
Mambo vipi wakuu!

Bila shaka mtakubaliana nami kuwa ugali ni chakula kikuu katika jamii nyingi barani Africa ingawa Marekani ndio inaongoza kwa kulima mahindi duniani lakin rekodi zinaonyesha ni kwa matumizi ya mifugo.Africa ndipo sehemu mahindi yatumika sana na mara nyingi mfululizo kwenye milo yote..Ni kweli kuna baadhi ya wanaume wanaamini kabisa ugali ni chakula pekee anachoweza shiba na kutosheka.

Kumekuwapo na fununua za muda mrefu na lawama nyingi zikielekezwa kwa UGALI kuwa ndio kisababishi cha waafrika kuwa matatizo mpaka leo. Wapinzani hao wa UGALI wanatodokeza kuwa kwenye ugali kuna chembechembe adui kwa ubongo wa mwanadamu hasa ile inaitwa Phytate ambayo inazuia zink, iron n.k. kuchukuliwa kutoka tumboni.

Kwa upande wa mwingine wapo wanadai hayo ni mashambulizi hatari na matokeo yake yatakuwa mabaya sana...

Je, ni kweli ugali unadumaza ubongo?

View attachment 1657689

Wabongo bana! Mafanikio kidogo tu mmeshaanza kutafiti madhara ya ugali!!!
 
Corn au mahindi ni starch , rais wa kwanz wa marekani alitumia starch ya corn kuextract plastic,.

Mahindi ni hybrid ya wild corn tunaiita teosinte , mahindi na product zake zote ni sumu kali sana na haifai kwa kuliwa na mwanadamu

,wanga ambao Mungu alitupa tuule ni

1.teff
2.splet
3.jamii za millet
Teff splet ni nn kwa kisw
 
Back
Top Bottom