Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Duuu! Hawa jamaa basi watakuwa walitaka kunipiga je mkuu ni kampuni gani inaweza ikawa ina tablet za Bei poaTecno hawatoi sana tablet. Tablet ya mwisho nilioona ya tecno ilikuwa DroidPad7 , iliyotoka baada ya PhantonPadMini.
Hiyo DroidPad7 ndio unayoweza kuipata madukani ingawa ni ya miaka kama 3 iliyopita na unavyojua hazipati system update.
Zaidi zaidi tecno wanazo WinPad , hizi ni tablet za windows zenye keyboard, ambazo nimeona zinaRange kwenye 800,000
Unataka Tablet inayoingia line ama hata ya kawaida?Juzi nilienda madukani kuulizia tablet nikaambiwa hazipo mkoani ila nikitaka naagiziwa toka dar. pia nikaambiwa zipo brands za tecno Samsung. Sasa nikawa nauliza Sana kuhusu tecno wakiniambia nitaipata kwa Tshs 250000. Je ni kweli tecno Wana tablet new brand na je bei ina range ngapi hadi ngapi?
Hapana sio lazima nataka niwe na illustrate comics kwenye sketchbook appUnataka Tablet inayoingia line ama hata ya kawaida?
Mkuu Bei ni ngapi?Huawei wanazo nzuri sana
Duh, probably hakuna tablet ya bei rahisi itakayofanya hiyo kazi.Hapana sio lazima nataka niwe na illustrate comics kwenye sketchbook app
Hizi za huion au wacom si unaunganisha na pcTafuta tablets za
HUION ama WACOM ila usitegemee kuchati humo
Angalia ya budget yako
Pia zipo za bei cheeeeeee nenda
bangood.com
Ila processor kuwa makini nazo zingine hazitelezi vizuri
Nilishawahi kuona vp Ina accept playstoreDuh, probably hakuna tablet ya bei rahisi itakayofanya hiyo kazi.
Kama budget ni ndogo kabisa angalau Tafuta Fire HD tablet za Amazon hizi ni Around $16 mpaka 80 (kwenye sale) sometime mpya sometime used. hakuna Duniani tablet itakayokupa value kushinda za Amazon. Sema hazina tech yoyote ya Kalamu ngumu kuchorea.
Kwa professional Tablet za kuchorea ni ghali sana, sometime zinazidi Dola 1000.
Ambazo unaweza pata kwa bei rahisi labda mtumba wa flagship Tablet za Samsung, kuanzia Tab s4 mpaka s7 zina Kalamu, Pia baadhi zinakuja na subscription ya Bure ya Clipart studio App maarufu ya kuchorea ambayo ni ya kulipia.
NdioHizi za huion au wacom si unaunganisha na pc
Haina playstore ila kuiweka ni click chache tu, kuna tool ya ku install playstore.Nilishawahi kuona vp Ina accept playstore
Mm Sina pc ningekuwa ningeichukua kikuu chapaNdio
Naona inaweza kunisaidia new verision fire os ni ngapi?Haina playstore ila kuiweka ni click chache tu, kuna tool ya ku install playstore.
Naona inaweza kunisaidia new verision fire os ni ngapi?
Mkuu Salaam, hizo Tab za Amazon ulizomention zinatumia Line? na Je naweza weka apps?Duh, probably hakuna tablet ya bei rahisi itakayofanya hiyo kazi.
Kama budget ni ndogo kabisa angalau Tafuta Fire HD tablet za Amazon hizi ni Around $16 mpaka 80 (kwenye sale) sometime mpya sometime used. hakuna Duniani tablet itakayokupa value kushinda za Amazon. Sema hazina tech yoyote ya Kalamu ngumu kuchorea.
Kwa professional Tablet za kuchorea ni ghali sana, sometime zinazidi Dola 1000.
Ambazo unaweza pata kwa bei rahisi labda mtumba wa flagship Tablet za Samsung, kuanzia Tab s4 mpaka s7 zina Kalamu, Pia baadhi zinakuja na subscription ya Bure ya Clipart studio App maarufu ya kuchorea ambayo ni ya kulipia.
Hazina line ni wifi tu, na Ni fork version ya Android Sema haiji na playstore. Utaweka apps zote za Android.Mkuu Salaam, hizo Tab za Amazon ulizomention zinatumia Line? na Je naweza weka apps?
ok , vipi kuhusu PDF files, mfano nina EBooks naweza tumia kusomea?Hazina line ni wifi tu, na Ni fork version ya Android Sema haiji na playstore. Utaweka apps zote za Android.
Pia unaweza weka playstore kupitia tool fulani hivi,
Sema weakness yake kubwa ni 32Bit os, hivyo kuna baadhi ya vitu heavy hutaweza run.