Je, ni kweli simu za iphone haziingii maji?

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Mar 24, 2019
374
483
Nadhani wakuu swali langu limeeleweka maana nimepitia YouTube naona wakifanya test ya kuzitia kwenye maji na wala hazionyeshi kuharibika nakua sawa kabisa na wengine hufikia kuzigandisha kwa fridge

Swali je ni kweli haziingii maji na je ni kuanzia iphone ipi?
@Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom