Je! Ni kweli Simba SC Hawachezi June 25?

N a sisi hiyo mechi hatuchezi kwa maana pshychgicla Yanga wanasikilizwa sana unakumbuka 2021 waligoma lkn sisi tukakubali kuceza mechi zote mbili
Ule mwaka yanga wajigoma kosa lilikua ni bodi ya ligi maana walibadilisha ratiba tofauti na kanuni na ndio maana wakamaliza kimya kimya.. kifupi Hizi timu zinajuana unasema sema Simba anaonewe kumbe kuna matukio Yake mengi tu yamezimwa ila mashabiki ndio tunadhalilika
 
Hata lile swala la BM busara ilitumika la sivyo kwa kanuni za FIFA, KOLO lilikua linashushwa daraja.
Lakini pamoja na msaada wote huo, UTO anapokea kebehi kua alishindwa CAS, kwa ukilaza wa lawyer wake.
 
Yanga ndiyo baba Lao,

Simba watakoma na Mangungu wao, sisi tunawataka tarehe 25/6 waje tuwakojolee kwa mara ya 5 mfululizo.
 
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
“Nafikiri TFF wamekosea kuwasikiliza Yanga pekee kwa kumsimamisha kazi Almas Kasongo kwa matakwa ya Yanga wakati huyu ni CEO ambaye anafanya kazi na jumla ya vilabu 48, kama ingetokea nusu ya hivyo vilabu havimtaki ingekuwa sawa lakini kwa timu mmoja kutomtaka haiwezi kutoa authority kwa Shirikisho kumsimamisha.”

“Kwa hatua nyingine Steven Mguto nae ameomba kujiuzulu nafasi ikiwa ni miongoni mwa wale viongozi ambao Yanga hawamtaki, tafsri yake ni kwamba TFF inawasikiliza Yanga pekee na sio kusikiliza timu zingine.” - Alex Ngereza.

#MeaMswahiliUPDATES
1749895389731.jpg
 
MATAKWA YA YANGA
.
1-Kamati ya usimamizi na uendeshaji ivunjwe
.
2-Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ajiuzulu
.
3-Katibu Mkuu wa TFF ajiuzulu
.
4-Bodi ya Ligi iwe huru(mchakato wa muda mrefu
.
5-Matatu yakitimizwa ndio Derby ipangiwe tarehe nyingine!
.
Hayo yasipofanyika hata mechi zilizosalia hatuchezi!
.
Powered by @@betpawatanzania @dexter_insurance @surveyor_aloyce
1749897006903.jpg
 
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
“Nafikiri TFF wamekosea kuwasikiliza Yanga pekee kwa kumsimamisha kazi Almas Kasongo kwa matakwa ya Yanga wakati huyu ni CEO ambaye anafanya kazi na jumla ya vilabu 48, kama ingetokea nusu ya hivyo vilabu havimtaki ingekuwa sawa lakini kwa timu mmoja kutomtaka haiwezi kutoa authority kwa Shirikisho kumsimamisha.”

“Kwa hatua nyingine Steven Mguto nae ameomba kujiuzulu nafasi ikiwa ni miongoni mwa wale viongozi ambao Yanga hawamtaki, tafsri yake ni kwamba TFF inawasikiliza Yanga pekee na sio kusikiliza timu zingine.” - Alex Ngereza.

#MeaMswahiliUPDATESView attachment 3368142
Kwa hio ilitakaje mechi isichezwe? Au mnasemaje kesho mnapeleka timu uwanjani? Ile tarehe 8 March mligomea nini? Nani alieahirisha mechi kwa kuwasikiliza wakina nani? Si Mnguto na Kasongo plus Karia au sio? Huku Steve alisema mechi ipo baadae alimsikiliza nani na likatoka tamko kwamba mechi haipo? Unajua unapofikiria jambo usifikiri kwa kwenda mbele tu unabidi urudi na nyuma pia kwenye kufikiri.

Hapo Ndugu Alex Ngereza arudi akafikirie upya mechi hii ilipoahirishwa mwanzo nani aliesababisha na km yeye ndie inamaanisha yeye tu ndie anaetakiwa kusikilizwa na sio wengine?

Wakishamaliza Mnguto na Kasongo kupisha hizo nafasi zao Karia apishe kiti akiweza ajiuzuru kabisa na Bodi ya Ligi ivunjwe
 
1749896899154.jpg
 
Back
Top Bottom