Je! Ni kweli Simba SC Hawachezi June 25?

Je! Ni kweli Simba SC Hawachezi June 25?

Wacheze.
Simba iachane na siasa za ndani kama inataka mafanikio kisoka Africa.
Kwanza Simba ina shida ipi? Tar tajwa team itaingia uwanjani na itacheza.

Km itatokea tar 24 jioni kuzuiliwa kufanya mazoezi ya mwisho, bas hatutacheza.

Vinginevyo kabumbu tunalo na tunatamba nalo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mimi SIMBA ila wenzetu Yanga wana nguvu sana na Simba wakicheza hii mechi mm sitashabikia bongo hadi nione mabadiliko ya kweli yaan siasa na mpira vijitenge maana pshychological hii mechi ishakuwa ngumu kwetu kwakuwa Yanga mambo yao wamesikilizwa yote body imejiuzulu wakati sisi dai letu bado kuhusu waliofanya mechi isichezwe tarhe hawajaadhibiwa
Waliosababisha mechi isichezwe tar 8 March si ni simba wenyewe, sasa sijui ulitaka simba yako iadhibiwe au unamaanisha nin
 
Upuuzi wote huu ni wao na Bodi ya Mguto walileta acha wayaoge hayo
Huwezi itenga Yanga na siasa za soka la Tanzania.
Simba + Yanga = Tawi la siasa.

Hizi timu zifatilie kwenye mashindano nje ya Tanzania utaenjoy soka sio ndani.
 
Kwanza Simba ina shida ipi? Tar tajwa team itaingia uwanjani na itacheza.

Km itatokea tar 24 jioni kuzuiliwa kufanya mazoezi ya mwisho, bas hatutacheza.

Vinginevyo kabumbu tunalo na tunatamba nalo.
True.
 
Thubutu😀😀😀
wakicheza mm Bongo sishabikii tena kama vile nilivyoachakuishabikia man u toka mwaka 2017 mpaka leo sijawahi kuangalia mechi 2 za man u msimu huu nimeangalia mechi mechi ya fainal tu msimu mzima ndio nitafanya kwa Simba wakicheza hiyo mechi
 
Tatizo ni kwamba siasa zimeshaingia TFF wameshapata sababu maana wanaweza kuwajibu Simba kua wale waliojiuzuru ndio walisababisha mechi isichezwe
 
Tatizo ni kwamba siasa zimeshaingia TFF wameshapata sababu maana wanaweza kuwajibu Simba kua wale waliojiuzuru ndio walisababisha mechi isichezwe
N a sisi hiyo mechi hatuchezi kwa maana pshychgicla Yanga wanasikilizwa sana unakumbuka 2021 waligoma lkn sisi tukakubali kuceza mechi zote mbili
 
Mangungu legelege yule mie sijawahi kumuelewa hata kidogo yaan akipeleka timu tukafungwa ujue aondoke vinginevyo hakutakalika hata kidogo
Ndio mwenyekiti wenu huyo usimuite legelege na katoa maelekezo kesho timu yenu iwe uwanjani ikacheze na nani?
 
Back
Top Bottom