Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,579
Tusubiri kuona Wallace Karia akikikimbia kiti alichokikalia maana yeye na Bodi ya Ligi ndio kalitengeneza bomu sasa wanawatimua Mnguto na Kasongo,na yeye Wallace ajitimue pia sasa vipi Mwana FA nae atamtimua kwenye nafasi yake au itakuaje atajiuzuru?
Simba watagomea kucheza June 25 kweli km walivyoweka lile bandiko lao uchwara au ndio mikwara ya Kenge anapoona mvua inanyesha anakimbilia mtoni?
Ninavyojua ile barua yao ya juzi waliyosema hawachezi mchezo wowote mbali na mchezo wa June 15, nyuma yake kuna baraka za Naibu Waziri wa Michezo na Wallace Karia maana wote ni mashabiki wa waziwazi wa Simba SC. Japokua Wallace Karia hua anajificha kwenye kichaka cha kusema yeye sio Shabiki wa Simba ila ni Shabiki wa Coastal Union lakini Mwana FA na Wallace Karia wote ni mashabiki wa Simba wa waziwazi. Hizi sio shutuma ndio ilivyo hivyo.
Leo Jumamosi tarehe 14 June Simba SC wamesema watakua wanafanya mazoezi yao ya mwisho mwisho maana wameshapata kibari cha kufanya hivyo ili kesho basi waingie kucheza mpira na Yanga yaan maana yake kesho Simba watakua uwanjani na mashabiki zao kucheza na Yanga.
Ila niseme tu tarehe 25 June Simba wakicheza na Yanga, Simba watapigwa vibaya sana kipigo kikavu kikavu mara 3 ya kile walichopigwa na Singida Black Stars.
Na zile Spana za Manara kwenda kwa Wallace Karia nimezielewa sana.
Subiri tuone nini kinafuatia.