economista
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 291
- 248
Udsm products wamejaa kwenye reputable multinational companies kibao kama pwc,kpmg,deloite,ey,shlumberger,puma,haliburton, etc hao wote kila mwaka wanakuja kurecruit vjana hapo chuo. Ushahidi ni watu niliomaliza nao.
Hao pwc na hizo taasisi nyingine zinazorecruit wanafunz kutoka chuo huwazi naenda vyuo vingi tu ndugu.tena mala nyingi huwa wanachukua wanafunzi waliosoma hizi institutes km TIA, IFM, IAA coz huko huwa wanafunzi wanakuwa professional zaidi.
Ukiona kuna watu wengi wa udsm kwa ofisi mbalimbali ni wale wa miaka ya nyuma wakati udsm ndio kilikuwa chuo pekee kinachotoa graduates wengi bt kwa sasani Hapana ndugu.
Bado nakubaliana na ww kuwa udsm ni chuo bora east africa. Lakini ubora wake hauletwi sana na products zake bt ubora wake kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya kuwa na madaktari na maprof wengi kuliko vyuo vingine