Bzimana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 551
- 156
Acha kudanganta kijana. Km 3.8 ya saut ingekuwa sawa na 2.2 ya udsm basi hao udsm wasingekuwa wanachukua wafunzi wa saut wasome masters pale udsm. Pia km ingekuwa hivyo basi hata kwenye soko la ajira mfano kwenye public academic institutes wangekuwa wanasema mtu akitoka saut au private university na gpa ya 3.8 then mwanafunzi wa udsm awe na gpa ya 2.2.
Ni utoto sana kuona mtu anadharau chuo cha saut lakini the same person unakuta anazisifia seminary na katoriki kuwa zinafanya vizuri sana. Je umesahau kuwa saut na seminars za katoliki ni kitu kimoja?
Mm nina uhakika kuwa km mitihani ya sekondari ingekuwa inakuwa tofauti then watu wangesema ohh hizi shule za seminary wanatoa mitihani rahisi. Ila kwakuwa mtihani ni moja bt matokeo ni tofauti ndiomana watu wanakuzikubal sana seminars.
Ninaweza kubashiri kuwa hata leo wakisema mitihani ya chuo uwe ni mmoja for all higher learning institutes, nakwambia private watakuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi coz wanafundishwa unlike huku udsm ambako mh.
unamanisha aliyefail drs la saba ndiye aliyepass form 4, na alipass drs la 7 ndiye aliyefail form 4.