Je, ni kweli SAUT "wanagawa GPA kubwa" kwa wanafunzi wao ili wawe marketable kwenye soko la ajira? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni kweli SAUT "wanagawa GPA kubwa" kwa wanafunzi wao ili wawe marketable kwenye soko la ajira?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KWETU PAZURI, Mar 1, 2012.

 1. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nawasilisha
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli,they have long way to go.
   
 3. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Si kweli mkuu, pamoja nakuwa chuo kinaendeshwa kibabe ila katika suala la taaluma wapo strictly. Nilimaliza Udsm pale gamba langu la kwanza, nasasa nipo SAUT. Nikijaribu kufanya ulinganisho sioni utofauti, ukichunguza sana ratiba ya SAUT iko bize sana kuliko Udsm. Kupata GPA nzuri ni kazi sana.
   
 4. Usedcountrynewpipo

  Usedcountrynewpipo JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2014
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 3,697
  Likes Received: 2,172
  Trophy Points: 280
  Unaweza ukawa deep kwenye shallow water, au shallow kwenye deep water!
   
 5. Fiati

  Fiati JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2014
  Joined: Oct 9, 2013
  Messages: 660
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Usipende kuishi kwa tetesi utashindwa kufanikiwa kwenye maisha yako.Ukisikia kitu fanya utafiti kama ni kweli ama uongo!sisi watanzania tunapenda sana tetesi kwa sababu ya kuendekeza umbea na majungu.Kama wanagawa G.P.A si na wewe nenda ukachukue.
   
 6. e

  economista JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2014
  Joined: Apr 1, 2014
  Messages: 271
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  An A at saut stars from 80 to100.so nadhani km wangekuwa wanataka kuwapa wanafunzi wao gpa kubwa nadhan wangeweka wastani mdogo.
  Kinachofanya wanafunzi wa saut wafanye vizuri (japo sio wote) ni kwamba at saut lecturers are teaching, they dont lecturer. Bt ukienda vyuo vingine mf hapa udsm utakuta walimu wengi hawafundishi. Unakuta mwalimu anakuja na vitisho kibao kuwa ni lazima akamate nusu ya darasa. Unakuta maswal wanayouliza kwenye paper ni migumu sana ukilinganisha na ubora wa kumwandaa mwanafunzi kuja kujibu mtihan wa hivyo. Ndiomana utakuta watu wengi walienda udsm na div one hadi za tatu bt wanatoka na gpa za lower second. Sio kuwa uwezo wao ulishuka bt kiukweli shule ya udsm imekuwa ni km ya kuwakomoa watu hivi.
  Hivyo utakuta mtu alikuwa na div two na akaenda saut bt akatoka na hata first class coz at saut atakuta mazingirs mazuri,wala hakuna mambo ya kutishiwa,na walimu wanawapima wanafunz ktk yale hasa waliyowafundisha.
  Ninamjua dogo moja akienda saut na div three mbaya kiasi kwamba ilibidi aingie km pre-entry candidate. Bt yule kijana aliondoka na gpa kali ambayo haijawah kutokea saut. Na soon after graduating at the same year akapata CPA. Yaan wala hajawah kurudia paper za CPA. Sasa km unaweza kusema kuwa alipewa gpa kubwa saut, je what about hiyo CPA aliyoing'oa kwenye single sit?
   
 7. Enzymes

  Enzymes JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2014
  Joined: Feb 14, 2013
  Messages: 4,192
  Likes Received: 2,330
  Trophy Points: 280
  Kuna Jamaa yangu alimaliza BBA Procurement 2010 SAUT, akapata Upper second class ya 4+, akaenda kusoma Masters ya Procument (I think supply Chain mgt or materials mgt) pale UDSM 2012 January, yeye ndie Fresher alie graduate pale UDSM na GPA ya 4+ kasoro point kama 2 hivi kupata First Class wengine walio graduate walikuwa wanaclear supplementary zao.
  My Point is: SAUT hawagawi GPA hata siku moja ila utofauti wao na vyuo vingine ni kwamba wanafunzi wao wanafundishwa sana na wahadhiri na mitihani inakaguliwa na watu kutoka nje na ndani ya chuo kama ina kiwango kinacho stahili (ugumu/wepesi wa kujibika). Hata ukiangalia matokeo ya shule za Private hasa za Katoriki-matokeo yao huwa mazuri kishule na kitaifa hadi sasa shule nyingi za Kiislamu zimeanza kujiita Seminary ili kuvutia wanafunzi (Sina ubaguzi wa ki imani lakini).

  Kijana ulizia rafiki au ndg yako yeyote alie soma SAUT au seminary yoyote za Kikatoriki akusimulie mziki wake>Hawanaga ujinga huo.
   
 8. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2014
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Alikuja jamaa na GPA yake 3.8 na alama zake CJUI A = NA NGAPI! Alitaka kujiunga na masterz pale udsm, wataalamu wakaiingiza kwenye viwango vya UDSM, GPA ikawa 2.2? Sitaniii, ni jamaa yangu kabisa na yeye alikuwa najisifu kuwa ana GPA nzuri ya SAUT nikamwambie cku ukienda UDSM utajua kama ni nzuri au lah! Mpaka leo kimyaaaaaa....
   
 9. TZ kwanza

  TZ kwanza JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2014
  Joined: Feb 25, 2013
  Messages: 249
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  maneno ya kijiweni hayo?,?yaani udsm waconvert gpa wamekuwa TCU wanavyofanya kwa mtu aliyesoma vyuo vya nje??? Hii ni mpya!!!
   
 10. qn of sheba

  qn of sheba JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2014
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,239
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu ana 3.2 lower PRO SAUT alifanya interview utumishi na wanafunzi wenzake wa vyuo vyote vinavyotambulika TCU bila kumjua hata mfagizi wa Utumishi, Yupo wizarani sasa anakula salary yake.

  Kama huna chakuandika kakojoe ulale.
   
 11. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2014
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikalalamikie uongozi, y mm hawanipi hiyo GPA? Ngoja kesho watanikoma
   
 12. Neutral catalyst

  Neutral catalyst JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2014
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 241
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Njoo na wwe uchukue ya nini kumiza kichwaa

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 13. e

  economista JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2014
  Joined: Apr 1, 2014
  Messages: 271
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Acha kudanganta kijana. Km 3.8 ya saut ingekuwa sawa na 2.2 ya udsm basi hao udsm wasingekuwa wanachukua wafunzi wa saut wasome masters pale udsm. Pia km ingekuwa hivyo basi hata kwenye soko la ajira mfano kwenye public academic institutes wangekuwa wanasema mtu akitoka saut au private university na gpa ya 3.8 then mwanafunzi wa udsm awe na gpa ya 2.2.
  Ni utoto sana kuona mtu anadharau chuo cha saut lakini the same person unakuta anazisifia seminary na katoriki kuwa zinafanya vizuri sana. Je umesahau kuwa saut na seminars za katoliki ni kitu kimoja?
  Mm nina uhakika kuwa km mitihani ya sekondari ingekuwa inakuwa tofauti then watu wangesema ohh hizi shule za seminary wanatoa mitihani rahisi. Ila kwakuwa mtihani ni moja bt matokeo ni tofauti ndiomana watu wanakuzikubal sana seminars.
  Ninaweza kubashiri kuwa hata leo wakisema mitihani ya chuo uwe ni mmoja for all higher learning institutes, nakwambia private watakuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi coz wanafundishwa unlike huku udsm ambako mh.
   
 14. e

  economista JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2014
  Joined: Apr 1, 2014
  Messages: 271
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Sio huyo tu...go to public academic institutes utakuwa ma lecturers wengi tu are saut products.
   
 15. M

  Molembe JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2014
  Joined: Dec 25, 2012
  Messages: 7,756
  Likes Received: 4,246
  Trophy Points: 280
  Saut wanaongoza wengine wanafuata.
   
 16. aloycious

  aloycious JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2014
  Joined: Dec 17, 2012
  Messages: 5,526
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  GPA ni formula na hutofautiana chuo hadi chuo.
  Chukua Raw marks zako semester sita omba kanuni ya kila chuo. Ingiza kwenye excel kanuni ya kila chuo kukokotoa GPA,Utapata.
  Sema vyuo vingi kanuni hizi ni top secret.
  Popote pale ulipo juhudi binafsi na ufundishaji ndio utakuokoa na hizo kanuni.
   
 17. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2014
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hanging sentence kama hii haisaidii yoyote

  anaylse it in our context ndio ueleweke

  its like saying, to be good you have to be good

  puff
   
 18. wa kupuliza

  wa kupuliza JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2014
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 772
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tena kwa SAUT mwl akitishia kushika wanafunzi lazma aitwe kujieleza kwa DVCAA
   
 19. wa kupuliza

  wa kupuliza JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2014
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 772
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Afu we jamaa ni muongo kinoma A ya SAUT ni 80-100.,B+ ni 70-79, B ni 60-69,C ni 50-59 NA we nipe grades za UD! Usifikr watu hatujui ku calculate GPA unavoisema hio GPA utafikir UD wana system ya ku calculate hzo GPA.Watu tunapga witswaterrand NA hzo degree ze2 Za SAUT we unakuja kuandika huo upuuz, au UD iko juu ya hicho chuo!
   
 20. Bzimana

  Bzimana JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2014
  Joined: Mar 18, 2013
  Messages: 486
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  inawezekana na nimepata kitu, wanawafundisha wakijua hawa ni wale wa div 3 na 4, ambapo mkazo unahitajika tofauti na yule wa UDSM.,
   
Loading...