nonsenseHakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
View attachment 3545560View attachment 3545559View attachment 3545561View attachment 3545562
Ni kweli, nani anaweza kukubali kuongea na muuaji wa watu 10,000 na zaidi? Nuksinonsense
Gentleman,Ni kweli, nani anaweza kukubali kuongea na muuaji wa watu 10,000 na zaidi? Nuksi
Jiulize mwenyewe wewe ukisikia mtu kaua utakua hata na nguvu za kuongea naye?
Jiulize “critically”

Yaliyojaribu kufichwa uvunguni yanajitokeza hadharani taratibuHakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
View attachment 3545560View attachment 3545559View attachment 3545561View attachment 3545562
Gentleman,
peleka porojo na uzushi wako nonsense kwa reporter wenu useless Lary Madow mkalenjini wa Eldoret pale Kenya, ndie pekee anaweza kufurahia porojo zako za kimamluki![]()
Na kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa na yule aliyemtetea muaji naye ni muuaji. Afadhali sasa hivi ungekua unatubu maana hiyo adhabu itakua si ya kwaida, inaweza ikarithisha hata vizazi vyenu.Gentleman,
peleka porojo na uzushi wako nonsense kwa reporter wenu useless Lary Madow mkalenjini wa Eldoret pale Kenya, ndie pekee anaweza kufurahia porojo zako za kimamluki![]()
huna haja ya kubabaika na mambo ya vitabu vitakatifu gentleman,Na kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa na yule aliyemtetea muaji naye ni muuaji. Afadhali sasa hivi ungekua unatubu maana hiyo adhabu itakua si ya kwaida, inaweza ikarithisha hata vizazi vyenu.
Amini haya nayokuambia, unaweza ukapuuza lakini siku hiyo ikifika utashangaa na kuweweseka.

How?nonsense
Sio kila mamlaka imewekwa na Mungu.huna haja ya kubabaika na mambo ya vitabu vitakatifu gentleman,
kwasababu imeandikwa wazi kuhusu KUTII MAMALAKA ZA DUNIA,
Warumi 13.
13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
Haki ya muhaini iko wazi hata kwenye biblia![]()
its wastage of time to discuss nonsense issues gentlemanHow?

What are you doing here then.its wastage of time to discuss nonsense issues gentleman![]()
huo ni miongoni mwa ulofa wa imani za kilokole gentlemanSio kila mamlaka imewekwa na Mungu.
