SI KWELI Je ni kweli Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu?

SI KWELI Je ni kweli Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kuna hii taarifa inasema Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu? Je ni taarifa ni kweli au

Screenshot 2026-03-06 120050.png
 
Tunachokijua
Uhalisia wa madai hayo

Ufuatiliaji kwa njia ya mtandao umebaini kuwa taarifa hiyo si ya kweli.

JamiiCheck imepitia ukurasa rasmi wa Rais Trump na kubaini kuwa hajachapisha ujube wa aina hiyo hivyo screenshot hiyo ni ya kughushi.

Aidha katika ukurasa wake wa X kupiia keyword search imebainisha Rais Trump hajawahi kuchapisha neno Tanzania.

Vita inayoendelea kati ya Iran, Marekani na Israel ilianza Februari 28, 2025 lakini tarehe inayoonekana katika screenshot ya kughushi ni Januari 05, 2026 ambapo baada ya ufuatiliaji umebaini kuwa kwa siku hiyo Rais Trump hakuchapisha ujumbe wowote katika ukurasa wake wa X.
Ni ya uongo kwani Tanzania kasema Nini Hadi apewe onyo la hivo? Na hata kama kasema chochote kitu trump hawezi kuipa Tanzania onyo la namna hiyo.
 
Back
Top Bottom