Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Umeota ivo kutokana na maumivu makali ya tumbo yaliyokupelekea kuhc kufa kufa so ikemee hyo ndoto ishindwe c mpango wa Mungu.
 

mambo mengine hayataki utani. mimi nikushauri jichunguze maisha yako je umejiandaaje maana duniani sisi sote ni wapitaji hatuna mji udumuo hivyo tengeneza maisha yako tubu dhambi zako na kumwamini Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wako
kutoka hapo kifo si kitu tena kwako tena hutaogopa tena. tafuta kanisa lolote jirani yako la TAG watakusaidia. amen!!!!
 
AYUBU 14:1-2, ”Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke,

siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
 
RIP BUJIBUJI........acha woga....hayo ni mapepo tu...hata mimi kuna kipindi hayo yako yalinikuta.ni mwaka jana...NILIUMWA SANA LAKINI SASA KWA UWEZO WA MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDH NA VYOTE VILIVYOMO AMENIPA NGUVU NA NIMEREJEA MASOMONI NIKIWA NA TUMAINI jipya
 

Usipo kufa jinyonge
 

Hahaha wiki?? Umewezaje mkuu
 
Ukiona hivyo acha maovu yote na mrudie Mungu wako ili ukapate uzima wa milele
 

ukishapiga mipombe yako unaanza kujichanganya changanya na kujistukia
 
Kemea, kataa roho ya mauti kwa jina la Yesu, the devil is a liar
 
Bujibuji april yaweza kuwa mbali... muda wowote muumba akikuhitaji unaondoka!
 
Last edited by a moderator:
amin nakwambia kuna jambo JEMA, KHERI na THAMANI sana litakutokea april 2014! usiogope Bujibuji pls!
 
Last edited by a moderator:
Utakufa ndio, na umesahau kuwa huyo Malaika alikwambia kuwa na MKEO UMWACHIE MPWAO ELLI???
 
Kwa matatizo na "madeni" niliyo nayo.... duh..
 
Nyerere katika besidei yake aliyoandaliwa kama sikosei mwaka 1997, alijitabiria atafikisha miaka 100, lakini mwaka 1999 akafa.

Mwenye kujua siku za uhai wa mwanadamu ni Mungu pekee, kama unaamini katika ndoto basi muulize Mungu wako nini maana ya ndoto hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…