Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,376
Niliifumua hiace pale mkabala na msikiti wa Riadha double road inapoanzia/ishia. Wanapaki hovyo hovyo!!Kwa mafundi ambao sio wababaishaji Moshi ni hakika, gari ikiwa ina tatizo unaelezwa straight na anachosema ndicho hasa na gharama zao ndio zitakuacha taya wazi.
Huku Dar mtu kufunga wishbone bush tu anataka umpe 20K wakati moshi kazi hio hio mtu anaifanya hata kwa buku 5!
Overhaul mtu anakufanyia kwa laki 1 Moshi. Ila hapa Daslam mtu wa overhaul lazma umuandalie hela ya tofali za nyumba nzima. Ndio akufanyie hio kazi na pengine hata asiweze akamtafute mtu mwengine ndio amfanyie hio kazi.
Body works ukiwa na 30K gari wana clear dents zote na kurudishia rangi. Hapa Dar hio 30K ni labour charge tu 😂😂😂
Jamaa akaita fundi wake kuuliza bei 10,000. Nilimuuliza mara mbili mbili.
Yangu nayo kunyoosha na kupiga rangi 15,000 nikachoka kabisa.
NimepAnga niipeleke body gari nzima huko huko Moshi