Je ni kweli Mkulo ana degree feki?

Kuna watu wana confuse degree fake na degree za non accredited universities. Degree za non accredited universities sio fake, bali hazitambuliwi! Sio kosa kisheria.

Degree fake ni zile za kwenye internet, husomi chochote, popote, unalipia na kupewa gamba la vyuo vikuu vyenye majina!. Hili ni kosa la jinai na ukigundulika ni punishable by law!

chuo kinapotoa degree kwa MBWA anayefugwa nyumbani nacho status yake ikoje?

hii ngoma inakoelekea ni nzito na naona kama vile umeingia kwa pupa bila kutafakari....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom