Je ni kweli Mapenzi yana-RUN DUNIA?

hapo kwenye red: ndipo huwa napatafakari, sijui huyu bwana alikuwa anamaanisha nini tu.......lol......



Bacha hapo kwenye red sentesi imeungania... Na ni ukweli usiopingika kua
WHEN A WOMANA LOVES - Hapa tutumie pia maneno ya R. Kelly

unajua mwanamke akipenda uwaaa
apenda kweli
 
Bacha hapo kwenye red sentesi imeungania... Na ni ukweli usiopingika kua
WHEN A WOMANA LOVES - Hapa tutumie pia maneno ya R. Kelly

unajua mwanamke akipenda uwaaa
apenda kweli


.....what about, when a woman is fed up.........?
 
.....what about, when a woman is fed up.........?



Namtumia tena R. Kelly kwenye hio hio ya when a woman is fed up...

Anakwambia kua mwanamke hupenda, tena hupenda saana hata ufanye upuuzi na ujinga wa namna gani yeye atakuvumilia tu.. ndio utampa pesa.. utalipa bili ya kila kitu from dinners to home bills.. Kelly kam paint huyu mwanamke kua she was responsible (akigusia upishi wake mzuri..), anamsifia kua she was perfect for him, but pamoja na kusema yoote alikua anamfanyia huyo mwanamke ikiwa Sex ya ukweli to other hudumaz vituko vilikua vikubwa yeye mwanaume alikua anafanya...

But then baada ya mda huyo mwanamke anakua fed up... Hajali wala hakutaki tena... hata ulie a river yeye hajali wala harudi nyuma, na ukifanikiwa kumrudisha nyuma it will never be the same again.. Ulikua ukijiamini (me) kua hawezi kukuacha kwa rafiki zako lakini sasa unarealise kua vile ulivyomfikiria sivyo.. Hata ukilalama kwa mamako atakwambia muache mtoto wa watu umemtesa vya kutosha...

The above ni maneno ya mwanaume mwenzenu na anashauri kabisa usitake upitie hii, pitia kwa kujifunza makosa alofanya yeye (Kelly)
 
hapo kwenye red: ndipo huwa napatafakari, sijui huyu bwana alikuwa anamaanisha nini tu.......lol......
Mkuu mwanamke akipenda anapenda mazima bwana! Huwa wanaingia na miguu yote, thats why wanatendwa!
 
Miaka hii Pesa ndio ina run dunia, anayebisha,prove me wrong
Pesa pasipo faraja ya mapenzi ni sawa na sifuri, mi naamin kwa kiasi fulani mapenzi yana run mambo mengi sana!
 
Bacha hapo kwenye red sentesi imeungania... Na ni ukweli usiopingika kua WHEN A WOMANA LOVES - Hapa tutumie pia maneno ya R. Kellyunajua mwanamke akipenda uwaaa apenda kweli
Wanawake hupenda kweli, huwa vichaaa ktk mapenzi bwana!
 
Namtumia tena R. Kelly kwenye hio hio ya when a woman is fed up...Anakwambia kua mwanamke hupenda, tena hupenda saana hata ufanye upuuzi na ujinga wa namna gani yeye atakuvumilia tu.. ndio utampa pesa.. utalipa bili ya kila kitu from dinners to home bills.. Kelly kam paint huyu mwanamke kua she was responsible (akigusia upishi wake mzuri..), anamsifia kua she was perfect for him, but pamoja na kusema yoote alikua anamfanyia huyo mwanamke ikiwa Sex ya ukweli to other hudumaz vituko vilikua vikubwa yeye mwanaume alikua anafanya...But then baada ya mda huyo mwanamke anakua fed up... Hajali wala hakutaki tena... hata ulie a river yeye hajali wala harudi nyuma, na ukifanikiwa kumrudisha nyuma it will never be the same again.. Ulikua ukijiamini (me) kua hawezi kukuacha kwa rafiki zako lakini sasa unarealise kua vile ulivyomfikiria sivyo.. Hata ukilalama kwa mamako atakwambia muache mtoto wa watu umemtesa vya kutosha...The above ni maneno ya mwanaume mwenzenu na anashauri kabisa usitake upitie hii, pitia kwa kujifunza makosa alofanya yeye (Kelly)
Ashadii wewe huo wimbo wa R-kelly umeuelewa vizuri? Usijekutupa tafsiri potoshi bwana! Anyway umenifumbua sana kwa mambo fulani fulani...
 
Back
Top Bottom