Je ni kweli Mapenzi yana-RUN DUNIA?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Ndugu, ule wimbo wa Allykiba ambao unabamba ktk chati za muziki za station mbalimbali za radio hapa Bongo "MAPENZI YANA-RUN DUNIA" natumai mmeusikia/mnaufahamu.. maudhui yake ni wazi yanaeleweka kwani katumia lugha rahisi kuelewa then alivyo viimba si vigeni masikioni or machoni mwetu. hoja yangu hapa ni kutaka kujua juu ya ukweli wa hili jambo, JE NI KWELI MAPENZI YANA-RUN DUNIA? MAPENZI YANA NAFASI GANI KTK MAMBO NA MATENDO YAENDELEAYO HAPA DUNIANI? TUJADILI!
 
Gagurito ikifika mida hii nisha notice hutapa saana wewe... vipi unatafuta usingizi...lol

sitetei yule mwonyeshe wivu ndiye mwenye
mapenzi ya kweli kwa mwenziye
lakini pia mwenziye mimi nimtulivu nakuiba mali ya
mtu Ukadhani nakusaliti Unatema biggy-G
kwa karanga za kuonjesha
unajua mwanamke akipenda uwaaa
apenda kweli Mapenzi yana run dunia
Feel free to love...

Gagurito ikifika mida hii nisha notice hutapa saana wewe... vipi unatafuta usingizi...lol
sitetei yule mwonyeshe wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenziye lakini pia mwenziye mimi nimtulivu nakuiba mali ya mtu Ukadhani nakusaliti Unatema biggy-G kwa karanga za kuonjesha
unajua mwanamke akipenda uwaaa apenda kweli Mapenzi yana run dunia
Feel free to love...
Aaaaa..... Asha beat halijaisha, mbona umekata verse mwana!!!
 
Gagurito ikifika mida hii nisha notice hutapa saana wewe... vipi unatafuta usingizi...lol
sitetei yule mwonyeshe wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenziye lakini pia mwenziye mimi nimtulivu nakuiba mali ya mtu Ukadhani nakusaliti Unatema biggy-G kwa karanga za kuonjesha
unajua mwanamke akipenda uwaaa apenda kweli Mapenzi yana run dunia
Feel free to love...
Mkuu Ashadii nimetuma hiyo kitu na usingizi ukanichukua kabisa lol. Thanx kwa lyrics, kwel mapenzi yana run dunia teh!
 
UNATEMA BIG-G.... Kwa karanga za mama ntilie teh! Yatakufika!
 
Kuna watu wanawaza jamani, mi pamoja na uelewa wangu wote huu swala la mapenz kurun dunia sijawah kufikiria!
 
Gagurito ikifika mida hii nisha notice hutapa saana wewe... vipi unatafuta usingizi...lol

sitetei yule mwonyeshe wivu ndiye mwenye
mapenzi ya kweli kwa mwenziye
lakini pia mwenziye mimi nimtulivu nakuiba mali ya
mtu Ukadhani nakusaliti Unatema biggy-G
kwa karanga za kuonjesha
unajua mwanamke akipenda uwaaa
apenda kweli Mapenzi yana run dunia
Feel free to love...

hapo kwenye red: ndipo huwa napatafakari, sijui huyu bwana alikuwa anamaanisha nini tu.......lol......
 
Back
Top Bottom