Maisha yana formula tena iko very clear. . .haya mengine ni maneno ya wakosoaji kujikataa na kukata tamaa
Wanatumia mifano michache ya watu waliofanikiwa kisha wakaanguka au ambao hawa kwenda shule lakini leo ni matajiri! Lakini jiulize wako wangapi?
Kama ingekuwa maisha hayana formula basi
Tusingeenda shule kusoma na kupata ujuzi na maarifa mbalimbali
Au tusingedamka na kuwahi kazini au kukesha nje gizani kwenye baridi na hatari zote za usiku kama mimi [emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji24]
Badala yake tungejifungia majumbani mwetu na kusubiri kupata kwa njia ya muujiza
Si afadhali wewe ulikuwa ulaya tena unahudumia walio hai....mimi niko Africa halafu nawalinda wafu! Kuna wakati huwa najiuliza hivi mimi ni mzima kweli? Hivi nawalinda wasiosema? Kwanini nawalinda lakini kwani ni wafungwa hawa kuwa wanaweza kutoroka? Au ni wanafunzi (wa kike [emoji39] [emoji85] )hivi familia siku ikijua nafanya kazi gani itanielewa kweli? Wewe umebahatika ni kazi ya magazeti kisha ni ulayaUnakesha njecgizani kwenye baridi ukifanya nini? Umenikumbusha kazi ya kugawa magazeti majumbani saa saba usiku hadi saa 12 alfajiri (aftenposten) niliyoifanya miaka ya 2012/13 nchi flani ulaya. Unapanda ngazi hadi ghorofa ya 8 kwa miguu kwa masaa 2.30, unasukuma toroli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipindi cha winter unateleza kwenye barafu, mvua , baridi vyote vyako.
Toroli limejaa magazeti kazi ya kusukuma sasa uwe umeshiba kweli....
Umenena vema mkuu, dhana hii huwa naiona ni upotoshaji mkubwa mno usio na sababu ya kuendekezwa, kudai kuwa maisha Hayana formula ni mawazo hafifu ambayo yamejikita kuamini katika bahati nasibu maisha ilihali maisha ni taswira iliyowazi na ili iboreshwe mbinu na utaratibu maalum lazima ufuatwe ili kutimiza adhima kusudiwa.Maisha yana formula tena iko very clear. . .haya mengine ni maneno ya wakosoaji kujikataa na kukata tamaa
Wanatumia mifano michache ya watu waliofanikiwa kisha wakaanguka au ambao hawa kwenda shule lakini leo ni matajiri! Lakini jiulize wako wangapi?
Kama ingekuwa maisha hayana formula basi
Tusingeenda shule kusoma na kupata ujuzi na maarifa mbalimbali
Au tusingedamka na kuwahi kazini au kukesha nje gizani kwenye baridi na hatari zote za usiku kama mimi [emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji24]
Badala yake tungejifungia majumbani mwetu na kusubiri kupata kwa njia ya muujiza
Mshana ilikuwaje ukawa unaishi na wafu (kulinda)? Mwenzio kijijini kwa Bibi kuna makaburi 4 napaogopa balaa. Yani siwezi kushinda mwenyewe home ...usiku ndio zaidi hata nje hunitoi.Si afadhali wewe ulikuwa ulaya tena unahudumia walio hai....mimi niko Africa halafu nawalinda wafu! Kuna wakati huwa najiuliza hivi mimi ni mzima kweli? Hivi nawalinda wasiosema? Kwanini nawalinda lakini kwani ni wafungwa hawa kuwa wanaweza kutoroka? Au ni wanafunzi (wa kike [emoji39] [emoji85] )hivi familia siku ikijua nafanya kazi gani itanielewa kweli? Wewe umebahatika ni kazi ya magazeti kisha ni ulaya
Kwa hiyo ni mambo ya kutumia ndoo kama jela au vipi?Mshana ilikuwaje ukawa unaishi na wafu (kulinda)? Mwenzio kijijini kwa Bibi kuna makaburi 4 napaogopa balaa. Yani siwezi kushinda mwenyewe home ...usiku ndio zaidi hata nje hunitoi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo ni mambo ya kutumia ndoo kama jela au vipi?
Ni story ndefu sana[emoji144] [emoji25]Mshana ilikuwaje ukawa unaishi na wafu (kulinda)? Mwenzio kijijini kwa Bibi kuna makaburi 4 napaogopa balaa. Yani siwezi kushinda mwenyewe home ...usiku ndio zaidi hata nje hunitoi.
Duuh ndugu yangu umenikumbusha mbali mno nakumbuka miaka ya themanini,niliifanya hiyo kazi Sweden nusura nikiue kibb cha kizungu,ile naweka gazei mlangoni kwake alfajiri na chenyewe kinafungua mlango, tukakutana uso kwa uso,na vile nilivyo mweusi kibibi kikajua ni gorilla, kikaanguka na kuzimia.Unakesha njecgizani kwenye baridi ukifanya nini? Umenikumbusha kazi ya kugawa magazeti majumbani saa saba usiku hadi saa 12 alfajiri (aftenposten) niliyoifanya miaka ya 2012/13 nchi flani ulaya. Unapanda ngazi hadi ghorofa ya 8 kwa miguu kwa masaa 2.30, unasukuma toroli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipindi cha winter unateleza kwenye barafu, mvua , baridi vyote vyako.
Toroli limejaa magazeti kazi ya kusukuma sasa uwe umeshiba kweli....
Duuh ndugu yangu umenikumbusha mbali mno nakumbuka miaka ya themanini,niliifanya hiyo kazi Sweden nusura nikiue kibb cha kizungu,ile naweka gazei mlangoni kwake alfajiri na chenyewe kinafungua mlango, tukakutana uso kwa uso,na vile nilivyo mweusi kibibi kikajua ni gorilla, kikaanguka na kuzimia.
Usinielewe vibaya mtaalamu. Hapa unaongelea jinsi unavyopigwa na baridi na hatari zote za usiku wakati ukiwa katika mambo yako ya kishirikina na matunguli? Nimesoma hiyo sentensi moja kwa moja wazo likanijia nikakuona kabisa laivu ukisafiri kwa ungo usiku kutoka Upareni kwenda DRC kupeleka ripoti. Pole sana mkuu. Ndo maisha ati!...au kukesha nje gizani kwenye baridi na hatari zote za usiku kama mimi [emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiwanja cha kurukia kikiwa Msata baseUsinielewe vibaya mtaalamu. Hapa unaongelea jinsi unavyopigwa na baridi na hatari zote za usiku wakati ukiwa katika mambo yako ya kishirikina na matunguli? Nimesoma hiyo sentensi moja kwa moja wazo likanijia nikakuona kabisa laivu ukisafiri kwa ungo usiku kutoka Upareni kwenda DRC kupeleka ripoti. Pole sana mkuu. Ndo maisha ati!
Maisha ni matamu saanqa aaseee kilä mtu na Fani yake[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Si afadhali wewe ulikuwa ulaya tena unahudumia walio hai....mimi niko Africa halafu nawalinda wafu! Kuna wakati huwa najiuliza hivi mimi ni mzima kweli? Hivi nawalinda wasiosema? Kwanini nawalinda lakini kwani ni wafungwa hawa kuwa wanaweza kutoroka? Au ni wanafunzi (wa kike [emoji39] [emoji85] )hivi familia siku ikijua nafanya kazi gani itanielewa kweli? Wewe umebahatika ni kazi ya magazeti kisha ni ulaya
unapenda kutisha watu wewe..huna lolote unalojua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiwanja cha kurukia kikiwa Msata base
You don't deserve my replyunapenda kutisha watu wewe..huna lolote unalojua
Sahihi kabisa vijana wengi siku hizi wanaangalia zaidi pesa bila kuangalia daraja la kumfikisha(kazi) kwenye hizo pesa, ieleweke tu kwamba pesa ni matokeo ya kazi unayofanya, hakuna muujiza utakaoleta pesa bila kuwa na shughuli yoyote ya uzalishaji.Katika ulimwengu huu uliojaa mahangaiko na machungu watu tunazaliwa tukiwa hatuna ufahamu wowote wala kuelewa mambo ya mbele zaidi ya kutabili namna mambo yatakavyokuwa.....ndio maana kwenye masuala ya kutafuta ridhki haishangazi kumuona mtu aliyetumia miaka mingi kusomea masuala ya sheria anakuja kuwa mfanyabiashara maarufu......
Kwa kifupi ni kuwa maisha ni vita vinavyohitaji jitihada na maarifa ili kuweza kuvishinda na hatimaye kuyaona mafanikio.....lakini jitihada zetu na maarifa yetu havitafaa kitu bila ya kumtegemea muumba na kumtumainia yeye kwani yeye ndiye mtoaji na RIDHKI na humpa amtakaye kwa muda anaoona unafaa......wapo watu waliokuwa mafukara lakini neema zimewaangukia sasa hivi wanaogelea katika fedha.....ili hali kuna watu kibao nyuma ya pazia bado wanapambana na muda unazidi kwenda.......
Watu wenye vipaji kama alichonacho Diamond ni wengi sana mitaani na kila uchao wanajitahidi kwa kadri ya uwezo wao ili kufikia alipofikia huyo msanii lakini jitihada zinashindikana.....
Wapo watu walianza biashara pamoja na watu fulani lakini leo hii wenzao wakipiga hatua huku wao bado wakiendelea kusua sua kwenye biashara hiyo hiyo....
Kitu kimoja kikubwa kinachokosewa na vijana au tuseme kuwa wachakarikaji wa miaka hii ni kutafuta maisha au ridhiki kwa nia au kujiringanisha na fulani au nimpite fulani.....hiyo ni mbaya kwani kamwe hutakuja kuyaona wala kuyafurahia mafanikio yako kwani maisha hayataki haraka wala pupa...bali yanataka uvumilivu na busara za hali ya juu......huwezi kujua kuwa huyo unayetaka kuwa kama yeye imemchukua miaka mingapi hadi kufikia hapo alipo sasa na je upo tayari kupita njia hizo ili nawe ufike hapo.....!!!???
Stori na sifa huvuma baada ya mafanikio kuja lakini nyuma ya hayo mafanikio kumejaa vita kubwa sana hadi kufikia hapo....??
Usitafute maisha kwa kushindana na fulani bali jiwekee malengo yako na mikakati yako na upambane kwa uwezo wako wote ili kufanikisha mipango yako huku ukiwa na ndoto zenye kutekelezeka.......pia tujifunze kushukuru hata kile kidogo tulichojaaliwa.......
Kwa maana hiyo wewe unaamini kufanikiwa ni bahati nasibu? Ungesoma vizuri mkuu huo uzi nilivyotolea ufafanuzi vipengele mhimu ambavyo licha ya watu kutofautiana njia lakini vipengele hivyo huonekana kwa kila mtu anayetaka mafanikio.HAYANA formula
Mara nyingi hiyo kauli huzungumzwa katika mazingira yanayoelezea njia kufikia mafanikio ambayo haitegemei utaratibu wowote maalumu... maana watu huona watu wakifanikiwa kwa njia za tofauti sana, na ni njia ambazo co lazima kila mtu akipita atafanikiwa.. Wengine huziterm kama 'zari'
Mimi binafsi naunga mkono hayo maoni maana hiyo FORMULA ingekuwepo kusingekuwa na UTOFAUTI wa maisha baina ya watu.. Tena yangekuwa uniform kwa kila mmoja wetu..
Na ingekuwa hivi alietangulia kupambana na maisha kupitia hiyo formula ndie angetangulia kufanikiwa..