Je, ni kweli kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi?

"Colour contrast" inaniongeza ham muda nnapiga tukio hivyo kwangu madem walionizidi weusi ndo nawapenda, maana mimi ni mweupe. After all, "Beauty lies in the eyes of the beholder"
 
Si wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive
Vipi kuhusu magari..?
 
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Mimi huwa na changanya zote yaani NYEUPE na NYEUSI napata CHOCOLATE, kiukweli CHOCOLATE ni tamu sana
 
Back
Top Bottom