Je, ni kweli kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi?

Sisi wenye marafiki wa kila rangi huku tunasema mwanamke yeyote yuleee.
 
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Black is beauty But White is only shine...
 
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Si kweli
IMG_20200312_083042.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri unaanza nje kwanza na sura ina mchango mkubwa. Umbo, sijui rangi ni preference.

Yaani nilimaanisha

Kila mtu anapenda kupitia macho na Akili yake kwa vigezo vyake. ( hatufanani wala unacbopenda yule sio lazima nikipende mimi) 😀😀
 
Dem awe maji ya kunde bwana ukute ana ngozi nyororo kitu soft hana ata kipele ***** mweupe akikatiza ata sishtuki, weupe wenyewe wa mkorogo ndo kabisaa bora wale weupe wa asili. But for me i prefer black
 
nina experience ya kudate wote tena vigoli sio wale ambao mileage imeshasoma mpaka unashindwa kuevaluate, niwe mkweli mademu weusi ni watamu balaa, weupe ni kwenye fahari ya macho tu

aim for the stars
 
Beauty is in the eye of the beholder

Back
Top Bottom