Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

View attachment 1975718

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchini Tanzania , Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

JF ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
Mkewe yuko pale nyumbani kwake? Nataka niende kumchukua kama kamuacha hapa Bongo ila mtoto simchukui kwani atakuja kuniletea matatizo ya baba yake huko mbeleni. Kibaka ni kibaka tu, no matter what.
 
Ni kweli Makonda alionea wengi na kuwaharibia sifa. Lakini Makonda kumchafuwa Ridhiwani Kikwete ni uongo mtupu. Katika dhambi zinazomkabili Makonda ni kumpiga Mzee Warioba. Ridhiwani na Makonda ni maswahiba na ndiyo maana Kikwete akamteua kwanza kwa nafasi ya mkuu wa wilaya na baadaye mkuu wa mkoa. Uteuzi wa Makonda si wa Magufuli bali Kikwete. Kosa la Magufuli lilikuwa pale alipowaondoa watu wenye majina/vyeti feki huku aklimuacha Makonda mwenye jina feki..
Aliteuliwa ukuu wa Wilaya kinondoni wakati wa jk, alipoingia magu akamteua mkuu wa mkoa.....akaanza mbwembwe na kigeugeu cha kudharau hata kwa waliombeba huko nyuma.....alimtaja riziwani na alienda kuhojiwa
 
Dhibitisha habari hiyo.Na udhibitishe ,alimunyima nani.Au maneno ya kusikia tu mitaani.Acha kuishi kijinga.Ishi kwa akili.Si kila neno ,unaliamini hats bila evidence.
Mimi "nikiishi kijinga", wewe utakuwa unaishi 'kipumbavu'.

Si kazi yangu kuthibitisha, nenda kawaulize waliompiga marufuku asikanyage kwenye nchi yao.
Hao waliomtuhumu kwa uharifu huo wanauwezo mkubwa zaidi yako unayeishi pangoni kujuwa wanachokisema. Kati yako na wao sina shaka ya nani wa kumuamini.
Huwezi kusema tu kwamba ni "maneno ya kusikia mitaani", huku wewe ukiwa huna nyenzo yoyote ya kujua ukweli ni upi.

Kiujumla, kwa jibu lako hili uliloweka hapa, wewe ni kiazi kwelikweli, huna kitu kichwani mwako, na sitashangaa kama wewe ndiwe muhusika mwenyewe Bashite, maana sikuwahi kumsikia akisema au akifanya lolote la maana.
 
Dhibitisha habari hiyo.Na udhibitishe ,alimunyima nani.Au maneno ya kusikia tu mitaani.Acha kuishi kijinga.Ishi kwa akili.Si kila neno ,unaliamini hats bila evidence.
Wewe nadhani haumo duniani
 
Yaani ww ni mjinga na mpumbavu ,ambaye wapumbavu wanakanyaga ili waende kwa wajinga na wapumbavu wengine.Habari za uzushi ,mpekekee mama yako.
 
Kwisha kazi yako. Huna lolote tena la maana ninaloweza kujibishana nawe hapa.
Peleka utoporo wako huko.Kazi majungu kama ,taarabu.Hapa ni great thinkers. Sio vimaneno vya mtaani ,ndio utuletee hapa.
 
Dhibitisha habari hiyo.Na udhibitishe ,alimunyima nani.Au maneno ya kusikia tu mitaani.Acha kuishi kijinga.Ishi kwa akili.Si kila neno ,unaliamini hats bila evidence.
Wewe m.ata.ko unataka kuaminisha watu hapa kwamba P:eek:mpeo alimsingizia bashite kuua watu? P.imbi ww
 
bashite ameshiriki kuchinja watu wengi, atapata wapi amani na utulivu?
 
Yupo mbona ukitaka kumgumia pita maeneo ya moroco kwenye ile pharmacy kubwaa
Anacheza sana mitaa ile

Ova
 
Peleka utoporo wako huko.Kazi majungu kama ,taarabu.Hapa ni great thinkers. Sio vimaneno vya mtaani ,ndio utuletee hapa.
Nionyeshe popote humu JF ulipoonyesha u-'great thinker' wako.
Kama wewe siyo Bashite mwenyewe, ambaye tunajuwa historia yake vyema katika uwezo wake kielimu, basi wewe hutakuwa tofauti sana naye, maanake unayoanadika kwenye jukwaa hili hayaonyeshi kwamba unao uwezo wowote wa kujadili jambo.

Usinipotezee muda wangu kufanya mambo mengine ya maana.
 
Back
Top Bottom