Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

kuna watu ujanja wao uko humuhumu tu tena kwa sababu ya MaGod father nje ya hapo ni wachumba tu.....huyo jamaa ujanja wake mwisho ni pale Midland kwa nanihii , ngoja tuache tu....ujanja wake umeishia hapo....hahahaha ila yuko meza ya jirani hapa anasubiri naye kupewa kazi kama mwenzie ili wawazamishe CDM....hahahaha Bongo ngumu sana.....
Insider wewe ,utakuwa..nakusoma kwa umakini mno...JF.
 
Back
Top Bottom