Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

View attachment 1975718

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchini Tanzania , Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

JF ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
Mod nyuzi zingine ,ni kuzifuta mapema.Mleta Uzi ,anatuletea taarifa za kufikirika .Anatuletea ujinga na upumbavu anaowaza na kuifanya iwe taarifa ya kweli ,kumbe ni uongo.Swali la kwanza.Je, Makonda anakosa gani?Mbili:Kwann hakimbie ?
 
Makonda anamsaidia baba mkwe wake ku run Hospital yake Makonda ya "Moyo" yenye vifaa vya kisasa aliyoipata akiwa mtumishi wa uma. Iko pale Arusha nyuma ya AICC. Pia ana monitor kwa mbali Bureau de change yake katikati ya Arusha aliyojipatia baada ya kukwapua mapesa kila kona na kufunga za wengine kwa kutumia JWTZ wakati wa uhai wa baba yake. Dodoma anaangalia plots zake kwa makumi. Nadhani alishafanikiwa kubadili nyaraka mbalimbali BRELA. Pole Bashite. Pengine uta bounce back wakati flani. Nature ni nature.
Bureau de change???
 
Sio kila unachokijua lazima ukiweke hadharani.
 
Mod nyuzi zingine ,ni kuzifuta mapema.Mleta Uzi ,anatuletea taarifa za kufikirika .Anatuletea ujinga na upumbavu anaowaza na kuifanya iwe taarifa ya kweli ,kumbe ni uongo.Swali la kwanza.Je, Makonda anakosa gani?Mbili:Kwann hakimbie ?
Je hajakimbia ? hilo ndio swali , ulipaswa kujibu ndio au hapana
 
Mod nyuzi zingine ,ni kuzifuta mapema.Mleta Uzi ,anatuletea taarifa za kufikirika .Anatuletea ujinga na upumbavu anaowaza na kuifanya iwe taarifa ya kweli ,kumbe ni uongo.Swali la kwanza.Je, Makonda anakosa gani?Mbili:Kwann hakimbie ?
Nikusaidie na swali lako, kama wewe ni mtu uishie pangoni pasipofka habari.
"Makonda anakosa gani"? Jibu, kunyima haki za watu kuishi.
Hujawahi kusikia habari hiyo hadi nchi fulani kapigwa marufuku ya kutembelea huko?
 
Dhibitisha habari hiyo.Na udhibitishe ,alimunyima nani.Au maneno ya kusikia tu mitaani.Acha kuishi kijinga.Ishi kwa akili.Si kila neno ,unaliamini hats bila evidence.
 
Unamtafuta ili akufanyie nini?
Pambana na shida zako achana na maisha ya watu.
Subiri hukumu ya baba mkwe wa Kweka.
Mbowe ni Gaidi.
 
Ni kweli Makonda alionea wengi na kuwaharibia sifa. Lakini Makonda kumchafuwa Ridhiwani Kikwete ni uongo mtupu. Katika dhambi zinazomkabili Makonda ni kumpiga Mzee Warioba. Ridhiwani na Makonda ni maswahiba na ndiyo maana Kikwete akamteua kwanza kwa nafasi ya mkuu wa wilaya na baadaye mkuu wa mkoa. Uteuzi wa Makonda si wa Magufuli bali Kikwete. Kosa la Magufuli lilikuwa pale alipowaondoa watu wenye majina/vyeti feki huku aklimuacha Makonda mwenye jina feki..
Magufuli alipochukua madaraka alimkuta Makonda ni mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ndipo akamteua kuwa Mkuu wa Mkoa. Siyo kweli kwamba Kikwete alimteua Makonda kuwa Kuu wa Mkoa. Rudia kujikumbusha vizuri.
 
Back
Top Bottom