Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,420
funguka mkuuHivi njiro ndio Africa kusini?
Kama ni kweli basi ameenda kutangaza utaliiView attachment 1975718
Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchi Tanzania Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .
Jf ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
Wewe ni housegirl wake??Makonda yuko nyumbani kwake Kigamboni!
Umeshafura manka!Wewe ni housegirl wake??
Hapo ni baada yakutumikia kifungo au vipi?.

Sweetheart akiwa anamsubiri.Hapo ni baada yakutumikia kifungo au vipi?.
Ukiangalia hiyo picha ndio unajua kwanini wanatakiwa school failures kwa kazi hiyoView attachment 1975718
Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchi Tanzania Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .
Jf ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
So kweliHapo ni baada yakutumikia kifungo au vipi?.
🤣🤣🤣 kikombe kulichojaa pakanga.Interpol Wamrudishe Haraka Tanzania Anywee Kikombe Kilichofurika Na Kusukwa Sukwa
Mbona juzi juzi nikiwa nakunywa kahawa na wazee flani hapo mitaa ya Kariakoo nikasikia wanasema kwamba Makonda ni untouchable yaan hawezi kuguswa na mtu sababu ana waganga mashuhuri ambao alikuwaga anamuunganisha nao mzee kipindi kileView attachment 1975718