- Thread starter
- #21
Ada halijawahi kumfichia Siri yule aliyeilla!uifakamie na kuimaliza ada ya shule ulopewa na wazazi wako kwa tamaa na kuigiza maisha, halafu uje kutafuta faraja na matumani ya uzembe wako JF?
gentleman,
huo ni ulofa wa kiwango cha juu sana kufanywa na mwanafunzi wa chuo kutoka kijijini na unaelipiwa ada na wazazi š