Nilikuwa nasoma mtandaoni leo gazeti moja la kiingereza lililoandika habari ya jinsi fedha zilizotarajiwa kufufua kiwanda cha nguo cha Urafiki lakini zikaliwa na wajanja!! Pia habari kama hizo hizo zimeeleza jinsi viwanda vyetu vilivyobinafsishwa kugeuzwa maghala na huku waliouziwa mpaka sasa wengine hawajamaliza kuvilipia kama vile kiwanda cha madawa Moshi na Moproco Morogoro. Sasa msomaji mmoja ameandika comment baada ya habari hizi kwenye hilo gazeti kuwa eti wanasiasa wa Tanzania ni wezi na wabadhilifi wa mali za umma kuliko aliyekuwa mtawala wa Zaire Mobutu Sese Seko na yule wa Phillipines Marcos na familia yake; je ni kuwa kweli hawa watawala wetu wametuibia mpaka wakawa na utajili wa namna hiyo?
Naomba mleta uzi aulizie, hivi George Hala, Mlebanoni aliyeiuzia midege mibovu Air Tanzania na kupelekea kuifilisi aliidhinisha nani hayo manunuzi kinyume na ushauri wa wataalamu?
Usije ukastuka jibu likiwa ni Nyerere.
Gazeti gani na mimi nilisome? mia
naona unataka kumtusi muasisi wa muungano.Naomba mleta uzi aulizie, hivi George Hala, Mlebanoni aliyeiuzia midege mibovu Air Tanzania na kupelekea kuifilisi aliidhinisha nani hayo manunuzi kinyume na ushauri wa wataalamu?
Usije ukastuka jibu likiwa ni Nyerere.
Naomba tiltle. nimetafuta habari nmeikosa. miaCitizen la leo!
Naomba mleta uzi aulizie, hivi George Hala, Mlebanoni aliyeiuzia midege mibovu Air Tanzania na kupelekea kuifilisi aliidhinisha nani hayo manunuzi kinyume na ushauri wa wataalamu?
Usije ukastuka jibu likiwa ni Nyerere.
Naomba tiltle. nimetafuta habari nmeikosa. mia
Naomba mleta uzi aulizie, hivi George Hala, Mlebanoni aliyeiuzia midege mibovu Air Tanzania na kupelekea kuifilisi aliidhinisha nani hayo manunuzi kinyume na ushauri wa wataalamu?
Usije ukastuka jibu likiwa ni Nyerere.
hili ndio swali alilouliza mleta mada? kwani umepigwa ban kuleta thread mpya? kama una hoja tofauti c ulete thread yake kuliko kututoa ktk mjadala tunaoendelea nao? kama umesoma elimu yako imekuletea ukombozi kweli au umeaulu tu una kazi ya kulisha familia nk
OK , nimekuelewa , unachomaanisha ni kwamba chama chenu kimeruhusu ufisadi !