mizimu ya kipare org inatoa msaada kwa royalbloods tuWakuu kwema?kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimesikia Mahali kwa juu juu kuwa eti upareni Kuna mzee wa Mila ambaye kupitia maombi maalumu kwa mizimu yake anauwezo wa kutatua changamoto kama ugojwa,ajira,biashara na mengineyo.
Naomba kwa mwenye taarifa kamili kuhusu mzee huyo atiririke,Asanteni.
Mshana Jr
Shetani ni taasisi kubwa! Mambo yoote ya giza ikiwemo ibada za mizimu ya makabila yoote, majini, uganga na unajimu, miungu yoote ya kibudha, ya kichina, na miungu yote inayoabudiwa katika nchi zoote, dini zoote zimefungamana ndani kwa ndani na shetani, n.k. Kwahiyo wewe kama unataka msaada tafuta miungu inayojibu kwa wepesi lakini ukubaliane na matokea kwasababu zina masharti! Mungu pekee ambaye hana masharti ni Mungu wa walokole isipokuwa na shetani kaishaanzisha dini za walokole ambazo hazina tofauti na ibada za mizimu na hirizi!Wakuu kwema?kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimesikia Mahali kwa juu juu kuwa eti upareni Kuna mzee wa Mila ambaye kupitia maombi maalumu kwa mizimu yake anauwezo wa kutatua changamoto kama ugojwa,ajira,biashara na mengineyo.
Naomba kwa mwenye taarifa kamili kuhusu mzee huyo atiririke,Asanteni.
Mshana Jr
Sio kweliWapare wazee wa kuabudu mizimu aka watu waliokufa...
Wachawi wakubwa...
Ndo maana hawaendelei sababu ya kuabudu uchawi...
Nitarudi...
Kujibu maswali...
Mungu Yehova, ndio mkuu wa kuogopwa kuliko miungu yote.Mungu pekee ambaye hana masharti ni Mungu wa walokole
Kwanini sio kweli...Sio kweli
Nenda tuUnapajua mbalamo....nnetonga mbalamo,ambuuu mbalamo hena vyangangaaa.....
Kuna kitu unajuaWapare wazee wa kuabudu mizimu aka watu waliokufa...
Wachawi wakubwa...
Ndo maana hawaendelei sababu ya kuabudu uchawi...
Nitarudi...
Kujibu maswali...
Duh,katisha huyo mgangaKwanini sio kweli...
Wakati Kila kitu iwe elimu, kuzaa, kuolewa, kazi lazima waende kwa huyo Mzee akawaombee kwa wafu...
Tena wanatoa na kafara ya damu ya wanyama...mbuzi au kondoo...
Wanaongea nao hao wafu Yani kama mtu anaongea na mtu aliye hai...
Wanamuomba kama Mungu wao...
Nitarudi Tena
Kusema usipoenda inakuwaje...
Umewahi fika upareni?Wapare wazee wa kuabudu mizimu aka watu waliokufa...
Wachawi wakubwa...
Ndo maana hawaendelei sababu ya kuabudu uchawi...
Nitarudi...
Kujibu maswali...
Siyo mganga, ni Mzee mmoja anakuwa anateuliwa na ukoo kwa ajili ya matambiko yaani kutambika kimila...Duh,katisha huyo mganga
Nimekaa sana...Umewahi fika upareni?
Mmmh,si mchezoSiyo mganga, ni Mzee mmoja anakuwa anateuliwa na ukoo kwa ajili ya matambiko yaani kutambika kimila...
Mzee huyo ndio anakuwa amebeba maisha ya watu wote kwenye ukoo...
Kila linapotokea suala la furaha au shida lazima aiombe hiyo mizimu kwa pombe au damu ya mbuzi/ kondoo...
Wanapenda sana sifa,ndevu nyiingiSiyo mganga, ni Mzee mmoja anakuwa anateuliwa na ukoo kwa ajili ya matambiko yaani kutambika kimila...
Mzee huyo ndio anakuwa amebeba maisha ya watu wote kwenye ukoo...
Kila linapotokea suala la furaha au shida lazima aiombe hiyo mizimu kwa pombe au damu ya mbuzi/ kondoo...
Ni balaa, sasa Kuna uchawi wao huo unaitwa uchawi wa mizimu...Mmmh,si mchezo