Je ni kweli ili mapenzi yadumu uongo unahitajika?

Je ni kweli ili mapenzi yadumu uongo unahitajika?

Nina rafiki yangu ana mpnz(demu) wake yupo mbeya na yeye yupo dsm, na wana miaka minne katika uhusiano wao.

Juzi katika ongea yao kupitia simu, wakajituta wana ulizana, hivi ni kitu gani ulicho wai kunificha mdada ana ulizwa hivyo! bila kuficha akajibu, mwaka juzi kipindi yupo huko mbeya amewai kumcheat mara 8 na wanaume wawili tofauti!...ila baadae akaona ni utoto akaacha, cha kushangaza jamaa kampiga chini mdada wa watu!!..mdada anaomba nimshauri jamaa yake kwani bado ana mpenda sana!..

Ushauri wenu wana MMU

kamuulize shetta
 
Mie ningemwambia nacheat hadi sasa hivi nitaacha nikishakuoa
 
Demu wa rafiki yako amejitahidi sana kuwa muwazi kwa kweli hastahili kumwacha
 
si kila jambo ufichue... angefikiri mara mbili huyo dada
:der:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom