Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

Mkuu nimekupata vizuri lakini kuna kitu bado kinanichanganya. Eneo la uvutano la dunia linaishia EXOSPHERE ambayo ni Km 400 kutoka uso wa dunia. Sasa inakuwaje mwezi ambao uko yapata Km laki nne (nje ya nguvu za uvutano) hatuuachi dunia inapozunguka jua?

Kama movement ya maji ya bahari inasababishwa na mvutano wa mwezi, huoni kuwa kuna mvutano mkubwa kati ya mwezi na dunia
 
mkuu hata kama ukipanda kwenye chombo let say helcopter na ikasimama angani bado hutaona dunia ikizunguka na pia dunia haitakuacha. kwa sababu hicho chombo bado kitakuwa kwenye atmosphere ambapo bado ni eneo la sayari ya dunia na pia bado gravitation force ya dunia ina affect chombo hicho.

ila kama utapanda na chombo hicho juu zaidi hadi nje ya earth's atmosphere basi hapo utaona dunia ikizunguka na dunia itakuacha kwa sababu nje ya atmosphere ya dunia gravitation force ya dunia haipo bali una experience either no gravitation or gravitation from other bodies on the universe.

kama hutajali nipe evidence kuwa mtu akiwa nje ya dunia let say mwezini anaona dunia ikizunguka
 
kuna evidence zaidi nimezipata kuwa dunia haizunguki jua.

upepo
density ya dunia 5,515 kg/m3
density ya anga 1.204 kg/m3

hivyo hapo tunaona dunia ina density kubwa kushinda anga mara 4580.

kitu kama gari kikimove kwa 100km/hr kunakuwa na upepo mkali sana unaupata dereva kama hujafunga kioo sababu unau push upepo uende pembeni ili upite.

upepo mkubbwa zaidi kupata kutokea duniani ni huko oklahoma ambao uliua watu kibao na kuvunja majumba, ulikua na speed ya 511km/h

tunaambiwa dunia ikijizungusha inazunguka kwa speed ya 1675km/h ambayo ni zaidi ya mara 3 ya oklahoma.

je kama dunia inaenda kwa speed hivyo why hakuna upepo mkali? maana tunapush gas huko angani, kwanini majumba yetu hayavunjiki?
 
Chief-Mkwawa,

Mkuu umefikiria mbali lakini mi naona mi sawa na kuzungumzia punje moja ya mchanga kwenye jangwa la sahara,,, kwani hata lile jengo kubwa kabisa bado ni kakitu kadogo sana katika uso wa dunia ambako wala hakawezi kuexperience hiyo hali unayoisema...

Fikiria ukubwa wa dunia halafu ulinganishe na ukubwa wa hizo buildings seems to be higher.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimekupata vizuri lakini kuna kitu bado kinanichanganya. Eneo la uvutano la dunia linaishia EXOSPHERE ambayo ni Km 400 kutoka uso wa dunia. Sasa inakuwaje mwezi ambao uko yapata Km laki nne (nje ya nguvu za uvutano) hatuuachi dunia inapozunguka jua?

Labda nami nichangie kidogo hapo,,.Ukisoma Newton's law of universal gravitation(mwaka 1686 na 1687 wanasayansi wengi waliprove na kuikubali hii law baada ya kusoma kitabu cha Newton),

the states that "Every two bodies in the universe attract each other with the force that is directly proportional to product of their masses and inversely proportional to the square of the distance between them" hivyo kuna uvutano mkubwa kati ya dunia na mwezi na kwa kuongezea ni kwamba mwezi huwa unazunguka dunia unatumia siku 29 na nusu kama sijakosea kwa mzunguko mmoja..

Pia kuna kitu kinaitwa Hill/Roche sphere, this is the zone in which the planet(earth) dominates satellites. sasa kwa dunia the hill/Roche sphere radius is 1,471,000km, so at 384,400km the moon is within the Earth's Hill/Roche sphere and thus it is securely attached to the earth..

samahani kwa kuchanganya kingereza na kiswahili ila nazani umepata kitu japo kidogo.. Hii physics ni noma
 
Mkuu umefikiria mbali lakini mi naona mi sawa na kuzungumzia punje moja ya mchanga kwenye jangwa la sahara.

Kwani hata lile jengo kubwa kabisa bado ni kakitu kadogo sana katika uso wa dunia ambako wala hakawezi kuexperience hiyo hali unayoisema... fikiria ukubwa wa dunia halafu ulinganishe na ukubwa wa hizo buildings seems to be higher

Case hii si ya jengo ni ya dunia yenyewe, kama gari ambayo likikimbia tunapigwa na upepo basi na dunia nayo ikizunguka kwenye orbit lazima ipush gas pembeni hivyo upepo mkali ungetokea unless unambie anga za juu hakuna gas kabisa. gas zinapatikana duniani tu.
 
kuna evidence zaidi nimezipata kuwa dunia haizunguki jua.

upepo
density ya dunia 5,515 kg/m3
density ya anga 1.204 kg/m3

hivyo hapo tunaona dunia ina density kubwa kushinda anga mara 4580.

kitu kama gari kikimove kwa 100km/hr kunakuwa na upepo mkali sana unaupata dereva kama hujafunga kioo sababu unau push upepo uende pembeni ili upite.

upepo mkubbwa zaidi kupata kutokea duniani ni huko oklahoma ambao uliua watu kibao na kuvunja majumba, ulikua na speed ya 511km/h

tunaambiwa dunia ikijizungusha inazunguka kwa speed ya 1675km/h ambayo ni zaidi ya mara 3 ya oklahoma.

je kama dunia inaenda kwa speed hivyo why hakuna upepo mkali? maana tunapush gas huko angani, kwanini majumba yetu hayavunjiki?

Dunia inazunguka ikiwa pamoja na anga lake, ikiwa ina maana inaenda na kila kitu chake hivyo hakuwezi kuwa na ukinzani kati ya dunia na upepo kwakuwa inazunguka nao.

Gari linapokimbia haliendi sawa na huo upepo.
 
case hii si ya jengo ni ya dunia yenyewe, kama gari ambayo likikimbia tunapigwa na upepo basi na dunia nayo ikizunguka kwenye orbit lazima ipush gas pembeni hivyo upepo mkali ungetokea unless unambie anga za juu hakuna gas kabisa. gas zinapatikana duniani tu.

Mars rover iliisafiri na kuingia mars kwa speed ya 13,200 mph.

Hili linaonyesha kwamba kwenye space hakuna friction kubwa kati ya objects na gas kama ilivyo katika atmosphere ya dunia na ndiyo maana meteorites zinasafari in space kwa speed kubwa bila tatizo la msuguano baina yake na gas lakini zilijaribu kuingia tu duniani msuguano ndipo hutokea na kuungua.

Kwa hiyoo kwa mifano hiyo utaona kuwa dunia haiwezi kukumbana na upepo because its among the objects in space
 
kuna evidence zaidi nimezipata kuwa dunia haizunguki jua.

upepo
density ya dunia 5,515 kg/m3
density ya anga 1.204 kg/m3

hivyo hapo tunaona dunia ina density kubwa kushinda anga mara 4580.

kitu kama gari kikimove kwa 100km/hr kunakuwa na upepo mkali sana unaupata dereva kama hujafunga kioo sababu unau push upepo uende pembeni ili upite.

upepo mkubbwa zaidi kupata kutokea duniani ni huko oklahoma ambao uliua watu kibao na kuvunja majumba, ulikua na speed ya 511km/h

tunaambiwa dunia ikijizungusha inazunguka kwa speed ya 1675km/h ambayo ni zaidi ya mara 3 ya oklahoma.

je kama dunia inaenda kwa speed hivyo why hakuna upepo mkali? maana tunapush gas huko angani, kwanini majumba yetu hayavunjiki?

Your problem is that you are assuming dunia ni gari na wewe umekaa dirishani
 
yap nakubali nitatua pale pale ila basi litaniacha litakuwa mbele si sawa?

dunia inajizungusha kwenye orbit kwa kwa kasi ya kilomita 30 kwa saa, ina maana kama nimepanda hellcopter nikasimama juu angani kwa sekunde 10 basi dunia ingeniacha kilomita 300, je kwanini hainiachi?

na hawa nasa wanapotuma vifaa nje ya dunia vikirudi haviji sehemu ile ile vilipotokea? maana dunia inakuwa imeshamove pale ipo eneo jengine. au ni changa la macho tu tunapigwa

mkuu inategemea unaruka uelekeo upi,kama unaruka juu tu bila kulekea kushoto au kuli nyuma au mbele basi utatua katika point ileile ndani ya gari, newtons first law mkuu.

unapozungumzia dunia unazungumzia mpaka magnetic field ambayo ndiyo force inayoweka kila kitu kinasie duniani pamoja na gravitational force. ili hiyo ndege iachwa ni lazima kusiwe na magnetic field na gravitation force iwe 0 hapo newtons law haita apply na ukisemacho kitatokea.
 
Labda nami nichangie kidogo hapo,,.Ukisoma Newton's law of universal gravitation(mwaka 1686 na 1687 wanasayansi wengi waliprove na kuikubali hii law baada ya kusoma kitabu cha Newton),

the states that "Every two bodies in the universe attract each other with the force that is directly proportional to product of their masses and inversely proportional to the square of the distance between them"

hivyo kuna uvutano mkubwa kati ya dunia na mwezi na kwa kuongezea ni kwamba mwezi huwa unazunguka dunia unatumia siku 29 na nusu kama sijakosea kwa mzunguko mmoja..

Pia kuna kitu kinaitwa Hill/Roche sphere, this is the zone in which the planet(earth) dominates satellites. sasa kwa dunia the hill/Roche sphere radius is 1,471,000km, so at 384,400km the moon is within the Earth's Hill/Roche sphere and thus it is securely attached to the earth..

Samahani kwa kuchanganya kingereza na kiswahili ila nazani umepata kitu japo kidogo.. Hii physics ni noma

Nimekupata mkuu, nimenifunza kitu kipya hiyo Hill/Roche sphere.

Shukrani.
 
case hii si ya jengo ni ya dunia yenyewe, kama gari ambayo likikimbia tunapigwa na upepo basi na dunia nayo ikizunguka kwenye orbit lazima ipush gas pembeni hivyo upepo mkali ungetokea unless unambie anga za juu hakuna gas kabisa. gas zinapatikana duniani tu.

Dunia inazunguka na anga lake na gesi zake hizo unazozisema hivyo vinaenda pamoja haviwezi kukinzana na mwendo wa dunia.
 
Mimi si mtaalamu sana wa science, lakini enzi zile nipo shuleni tulijifunza kuwa angani (space) kuna utupu/vacuum. Kwa hiyo kule kuna kiwango kidogo sana cha upepo na hewa. Ndiyo maana hata Astronauts wanakuwa wanawekewa supply ya hewa ili wanapokuwa nje ya dunia waweze kupumua,

vilevile uvutano kati ya dunia, mwezi na sayari nyingine, unaathiri mwendokasi wa dunia, na pia tukumbuke kuwa foreign objects haziwezi kuathiri contents za dunia kwa kuwa ina Ozone layer, ndiyo maana na gas za nje ya space haziwezi kuingia duniani. Pia, dunia inazunguka kwa mwendo kasi sana, lakini kutokana na gravity,

tunakuwa hatuanguki wala kuyumba. Kikubwa ni kwamba hata dunia iende kasi vipi, haiwezi kukumbana na upepo mkali, kutokana Anga/ space kuwa tupu. Maana hata kungekuwa na upepo basi spaceship nyingi zingepata shida sana katika movement huko angani.
 
Mkuu nimekupata vizuri lakini kuna kitu bado kinanichanganya. Eneo la uvutano la dunia linaishia EXOSPHERE ambayo ni Km 400 kutoka uso wa dunia. Sasa inakuwaje mwezi ambao uko yapata Km laki nne (nje ya nguvu za uvutano) hatuuachi dunia inapozunguka jua?

Tambua kuwa ukiwa nje ya anga la dunia(exosphere) ni kweli ni vigumu kudetect nguvu za uvutano za dunia(gravity) sio kwa sababu hazipo bali kwa kuwa ni too weak to be detected.

Kuna kitu ambacho tunapaswa kukijua, ni kwamba nguvu za uvutano za maumbo ya angani kama jua, dunia,mwezi, nk zinatend kuvuta zaidi vitu vikubwa kama sayari, mwezi,nk.

Kwa hiyo nje ya exosphere kitu kama binadamu au space rocket vinakuwa vidogo mno kuweza kuvutwa au kudetect gravity yoyote ndio maana vitu vidogo angani vinasafiri kwa uhuru na kwa speed kubwa katika direction yoyote hadi pale kinapokaribia sayari au mwezi maana hapo gravity inakuwa kubwa na kuweza kubadili velocity na direction ya chombo hicho.

Kwa hyo kwenye anga za juu kuna nguvu za uvutano toka jua(na nyota nyinginezo), sayari,mwezi, nk lakini zinaaffect vitu vikubwa tu angani. Ndio maana wakati rocket inasafiri kwa uhuru na kwa kasi kubwa dunia(na sayari nyingine) haina uhuru huo hivyo inabaki katika mzunguko wake kutokana na nguvu za jua za uvutano.

Na ndio maana kuna uvutano kati ya mwezi na dunia ambao unafanya mwezi ubaki kwenye mzuguko wake ukienda pamoja na dunia.

Bahari zinatoa ushahidi wa uvutano kati ya mwezi na dunia kwani wengi tunajua au kusikia kuhusu bahari kupwa na bahari kujaa. Kupwa kwa bahari kunatokea pale maji ya bahari yanaposogea mbali na ufuo na kuingia zaidi baharini na kujaa kwa bahari ni pale maji yanaporudi.

Sababu ni kwamba mwezi unapokuwa juu ya eneo fulano la bahari, kwa kiuwa maji yako flexible ukilinganisha na ardhi, maji yanavutwa juu na nguvu za mwezi hivyo bahari kupwa na mwezi ukishapita maji yanarudi yaani kujaa.

Kwa hiyo basi kwa vitu vikubwa kama dunia na mwezi nguvu za uvutano zinafika mbali sana lakini kwa vitu vidogo mfano rocket nguvu zinafifia baada ya distance fulani mfano nje ya anga la dunia na hivyo kukifanya chombo hicho kutokuwa na uzito(weight) kabisa.
 
kuna evidence zaidi nimezipata kuwa dunia haizunguki jua.

upepo
density ya dunia 5,515 kg/m3
density ya anga 1.204 kg/m3

hivyo hapo tunaona dunia ina density kubwa kushinda anga mara 4580.

kitu kama gari kikimove kwa 100km/hr kunakuwa na upepo mkali sana unaupata dereva kama hujafunga kioo sababu unau push upepo uende pembeni ili upite.

upepo mkubbwa zaidi kupata kutokea duniani ni huko oklahoma ambao uliua watu kibao na kuvunja majumba, ulikua na speed ya 511km/h

tunaambiwa dunia ikijizungusha inazunguka kwa speed ya 1675km/h ambayo ni zaidi ya mara 3 ya oklahoma.

je kama dunia inaenda kwa speed hivyo why hakuna upepo mkali? maana tunapush gas huko angani, kwanini majumba yetu hayavunjiki?

First thing first, hizo densities umezipata wapi? Ni kwa mujibu wa vipimo gani?

Halafu uelewa wako wa tofauti ya Archimedean flotation na gravitational physics umeanzia wapi na kuishia wapi?

Inaonekana unategemea dunia ielee kwenye space kama meli inavyoelea kwenye maji ndiyo maana unatumia density.

You seem to have totally missed the boat.

Halafu pia hujaelewa kwamba dunia inapozunguka inazunguka na atmosphere yake, na kuanzia km 7 mpaka 16 juu angani upepo unavuma bila kisita kwa kiwango cha kianzia km 90 kwa saa.

Atmosphere ya juu ina act kama kinga kwa ya chini. Kuuliza kwa nini hatuoni upepo chini ni sawa na kuuliza kwa nini ukiwa kwenye gari lililofungwa vioo hupigwi na upepo.

Nieleze ni vitabu gani kuhusu the geography and astronomy of the earth umesoma katika miaka mitatu iliyopita, inawezekana tatizo lako jujapitia vitabu vinavyohusika.

Au unaona fahari kubishia vitu kwa kukosa elimu.
 
Dunia inazunguka na anga lake na gesi zake hizo unazozisema hivyo vinaenda pamoja haviwezi kukinzana na mwendo wa dunia.

sure na gas zake lakini kuna gesi nyengine pia nje ya dunia right? je dunia ikichukua space ya hio gesi nyengine haigenerate upepo?
 
First thing first, hizo densities umezipata wapi? Ni kwa mujibu wa vipimo gani?

Halafu uelewa wako wa tofauti ya Archimedean flotation na gravitational physics umeanzia wapi na kuishia wapi?

Inaonekana unategemea dunia ielee kwenye space kama meli inavyoelea kwenye maji ndiyo maana unatumia density.

You seem to have totally missed the boat.

Halafu pia hujaelewa kwamba dunia inapozunguka inazunguka na atmosphere yake, na kuanzia km 7 mpaka 16 juu angani upepo unavuma bila kisita kwa kiwango cha kianzia km 90 kwa saa.

Atmosphere ya juu ina act kama kinga kwa ya chini. Kuuliza kwa nini hatuoni upepo chini ni sawa na kuuliza kwa nini ukiwa kwenye gari lililofungwa vioo hupigwi na upepo.

Nieleze ni vitabu gani kuhusu the geography and astronomy of the earth umesoma katika miaka mitatu iliyopita, inawezekana tatizo lako jujapitia vitabu vinavyohusika.

Au unaona fahari kubishia vitu kwa kukosa elimu.

rule yangu ya kwanza ya kureasoan na mtu ni kwamba sipendi personal attack, elimu yangu hapa haihusiki au mimi kuwa kilaza/sio kilaza pia hakuhusiki. unaruhusiwa kunichallenge data yoyote nitakayotaja nitakupa source.

tuanze na density yenyewe inapatikana kiurahisi wikipedia
https://en.wikipedia.org/wiki/Structure_of_the_Earth
shuka chini hadi paragraph ambayo heading yake imeandikwa core. na kama unazitilia mashaka wikipedia wanaeka source zao utaingia deep zaidi.

vitu vyako almsot vyote ulivyotaja sijavisoma, vinaweza ku contribute hapa? unakaribishwa na wewe kutoa data zako kama unaona mimi ni amateur basi its ok nipotezee tu kaka.

then hii mada nimeanzisha huku navisoma hivi vitu duniani, nilichogundua hii issue ya dunia kuwa inazunguka kumbe still ni theory ambayo haina proof, nimesoma shule sijawahi kuambiwa hiki kitu nikiona kupatwa kwa mwezi au jua, majira ya mwaka na usiku na mchana nikawa najua ni fact watu wameprove.

tuendelee kwenye mada

Atmosphere ya juu ina act kama kinga kwa ya chini. Kuuliza kwa nini hatuoni upepo chini ni sawa na kuuliza kwa nini ukiwa kwenye gari lililofungwa vioo hupigwi na upepo.

Tufanye upo sahihi atmosphere inatulinda huo upepo hauji duniani sababu ya atmosphere then i means kuna upepo mkali sana pale atmosphere inapoishia?

Sababu kunakuwa na upepo mkali nje ya kioo right? na vyombo vya china, urusi na india vikitoka nje ya dunia kwenda anga za juu vinapitaje huo upepo? nipe ujuzi kidogo
 
Back
Top Bottom