Je ni kweli Application ya "Psiphon Pro" inatumika kupata Free Internet

Mimi nina halotel je ukifika hapo unafanyaje
Bonyeza start mkuu halafu fungua application kama whatsapp uanze kuchat
Screenshot_2021-04-10-15-42-16.jpg
 
Sasa vifurushi vimeshuka bei kwanini mnahangaika na bure? Bure inaua
 
Utawaka Mkuu hutaamini utakayoyaona, slow TTCL Haifati hapo ni Bora ukatumia bando tu kuliko hilo dude,
Kanasaidia kwa mtu asie na bando but nimechukunguza nadhani unapewa limit ya 2Mb kwa trial ya siku 7 kisha utalipia kifurush cha kuanzia 11 k kwa mwezi
 
Hakuna kitu hii app bureeee kabisa, haifanyi kazi inavyopaswa kufanya hata ukiupgrade kwenye kifurushi cha 23k kwa mwezi unapewa 7days free kwanza ndio ulipie lakini hamna chochote ipotezeeni tu.
 
Hakuna kitu hii app bureeee kabisa, haifanyi kazi inavyopaswa kufanya hata ukiupgrade kwenye kifurushi cha 23k kwa mwezi unapewa 7days free kwanza ndio ulipie lakini hamna chochote ipotezeeni tu.
kweli mwanangu ya kisenge sana
 
Kama hii haifanyi kazi, kuna nyingine mbadala ya hii inayoweza kufanya kazi vizuri??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom