Je, ni kweli akina Halima Mdee wanaasisi chama kipya cha Siasa mbadala wa CHADEMA?

Mtu yeyote anayetaka kufanya siasa za upinzani nchi hii ajiulize kwanza kama ataweza kulipa gharama za kuwa mpinzani.
Mifano ipo ajipimie mwenyewe
 
Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.

Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.

Habari kamili zitawajia.
Waanzishe ili WALE RUZUKU za Masikini
 
Hata wewe na Job mnajua kuwa hawako Chadema. Hii kutwa kucha yenu ya kudai wako Chadema, hamuoni ni kuthibitisha kuyumba kwa madishi mahali?
 
Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.

Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.

Habari kamili zitawajia.
Ni jambo jema!
 
Mdee, Bulaya na matiko wanakwenda kujizika kabisa kisiasa.

Walitakiwa wapapatue kurudi ndani ya Chadema, na kama lingeshindikana walitakiwa wakajipendekeze ACT, naamini wangewapokea.

Lakini kitendo cha kutaka kuanzisha chama kipya bila ya kuwa na wafuasi ni kujimaliza.
Mzee Mdee na demu wake wao wako bize kulinda ndoa yao tu wala kwenye hicho chama cha Polepole hawapo.
 
Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.

Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.

Habari kamili zitawajia.
Chama mbadala sio mpango. Chama mbadala sio maneno. Chama mbadala ni ushawishi wa mioyo ya watu. Ngoja tuwaone wakiingia mtaani kama watakonga mioyo ya watu. Si rahisi hivyo kama wanavyodhania.
 
Tuliiamini
NccR Mageuzi ikafa
CuF ikanunulika
CdM ikanunua mafisadi
AcT wazalendo ikawa pandikiz

Haya mambo ya vyama hayajatusaidia kabisa.
Tume ya Nyalali ifuatwe 80% hawakutaka vyama vingi kwahiyo nchi isiendeshwe kwa zile 20% hapo hakuna maana ya demokrasia tena
 
Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.

Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.

Habari kamili zitawajia.
Kitakuwa chama cha mashoga na wasagaji.Ukorofiiiiii
 
Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.

Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.

Habari kamili zitawajia.

Chama tawala nacho kimeshiriki kuunda hicho chama kipya
 
Back
Top Bottom