Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,205
2,000
Huyu kunguni hujifanya kujua sana wakati ubongo umejaa kinyesi tu.
Nyambafu mbwa wewe
Inasemekana huwezi kupanga Jambo baya la 'Kuidhuru' Rwanda ukiwa ndani au nje ya nchi hiyo na kama ukipanga kufanya hivyo usijulikane mapema kwani utadhibitiwa Kikamilifu kabisa.

Pia wanasema huwezi 'Kuvamia' Mkoa wowote ule wa Rwanda hata kama Wewe ni Gaidi na ukauwa Wanyarwanda au ukawashambulia Wanajeshi wake tena 'Makomandoo' kabisa na wengine wakakimbia na kukuachia 'Vifaru' vyao.

Nasikia 'Majasusi' wa Rwanda ni wazuri sana katika 'Kunusa' hatari na wala hawana mambo mengi, hawapendi 'Sifa', hawajihusishi mno na 'Siasa' za Rwanda bali Wao wanapambana tu Kuilinda Rwanda na Wanyarwanda wote.

Je, hii ina ukweli wowote labda? Na kama ni kweli ina maana 'Mafunzo' wanayopewa 'Majasusi' wa Rwanda ni tofauti na Nchi zingine zote za EAC?
 

THE BREED

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
1,744
2,000
Mkuu wa majeshi amejiingiza ktk siasa matokeo yake wanajeshi wanachinjwa kama kuku na raia wakazi na magaidi!!!!ujasusi umefeli!!!
 

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
5,595
2,000
Adui wa Rwanada anapata nini cha maana? Kahawa vikombe viwili au na yeye awapore madini wanayopora Congo DRC?

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufikiria kuhangaika na huo mkoa mdogo usio na rasilimali zozote.
 

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
5,595
2,000
Hakuna fasihi yoyote ni utopolo mtupu.
Nimesoma comments zote nahisi watu hawajelewa fasihi nzito iliyopo kwenye huu uzi. Nawashauri kwamba hebu muupitie tena kwa utulivu na umakini, msome kati ya mistari(between the lines) kisha tupate maoni ya kifasihi.

Fasihi ni pana na inategemea kila mmoja kaichambua vipi kazi husika na hiyo inaonyesha ubora wa "Fanani", ila kwa maoni yangu Rwanda kama Rwanda imetumika kuwakilisha hoja ya mahala fulani.
 

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
5,595
2,000
Aichuke East Africa aipeleke wapi?
Juzi tu hapo Uganda walimbonyeza kidogo akabaki analalamika na kakimbilia Tanzania kuoamba msaada wa kumaliza mgogoro na M7.
Ni kweli ndugu kwa sasa Rwanda inapata taarifa yoyote ile kwenye Nchi nyingi za Africa kutokana na tabia yao ya kuweka watu wao katika sehemu nyeti za Nchi nyingi za Africa.Ukienda jeshini wapo, ukienda ikulu unakuta ndo walinzi wenyewe.sasa hapo unachomokaje ndugu?.

Kagame akiamua wiki 1 tu inatosha kwake kuchukua Easte Africa yote na vitongoji vyake.
 

Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
1,874
2,000
Operations ambazo TISS wamefanya kwa umahiri kuilinda Nchi sio fair kuwalinganisha na Rwanda ambao hata waasi tu wanashindwa kuwatokomeza tena cha ajabu waasi wenyewe wapo ardhi za DRC na Burundi nchi zinazopakana kabisa na Rwanda
We jamaa utakuwa ndani ya mfumo, probably JWTZ
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,335
2,000
Huyu kunguni hujifanya kujua sana wakati ubongo umejaa kinyesi tu.
Nyambafu mbwa wewe
Hivi nyie 'Juha' mnaosema kila Siku kuwa GENTAMYCINE najua kila Kitu kuna mahala popote nanyi mmezuiwa msiwe 'Knowledgeable' kama Mimi?
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
7,676
2,000
Marehemu Simba wa vita mzee Kawawa wakati wa vita vya Kagera alishawahi kusema ''Vita havina nchi ndogo'' mwisho wa kunukuu.Ukubwa wa nchi sio hoja ona Mobutu alivyokuwa na jeshi dhaifu pamoja na ukubwa wa Zaire.

Ona Korea Kaskazini ilivyo ndogo hata mkoa wa Tabora pamoja na Mwanza ni mkubwa lakini anavyomtoa Mmarekani kamasi.
Kagame nchi yake ndogo sana but I am telling you that man is a brilliant and tactician solder askari mwenye akili na mbinu nyingi kwenye medani za kivita.
Nafikiri pk anajilinda yeye zaidi na familia yake ili atawale milele.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom