Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Inasemekana huwezi kupanga Jambo baya la 'Kuidhuru' Rwanda ukiwa ndani au nje ya nchi hiyo na kama ukipanga kufanya hivyo usijulikane mapema kwani utadhibitiwa Kikamilifu kabisa.

Pia wanasema huwezi 'Kuvamia' Mkoa wowote ule wa Rwanda hata kama Wewe ni Gaidi na ukauwa Wanyarwanda au ukawashambulia Wanajeshi wake tena 'Makomandoo' kabisa na wengine wakakimbia na kukuachia 'Vifaru' vyao.

Nasikia 'Majasusi' wa Rwanda ni wazuri sana katika 'Kunusa' hatari na wala hawana mambo mengi, hawapendi 'Sifa', hawajihusishi mno na 'Siasa' za Rwanda bali Wao wanapambana tu Kuilinda Rwanda na Wanyarwanda wote.

Je, hii ina ukweli wowote labda? Na kama ni kweli ina maana 'Mafunzo' wanayopewa 'Majasusi' wa Rwanda ni tofauti na Nchi zingine zote za EAC?
Hakuna lolote mahaba tu, yanakusumbua watu wakiamua kuibutua wanaibutua tu bila shida yoyote!
 
Inasemekana huwezi kupanga Jambo baya la 'Kuidhuru' Rwanda ukiwa ndani au nje ya nchi hiyo na kama ukipanga kufanya hivyo usijulikane mapema kwani utadhibitiwa Kikamilifu kabisa.

Pia wanasema huwezi 'Kuvamia' Mkoa wowote ule wa Rwanda hata kama Wewe ni Gaidi na ukauwa Wanyarwanda au ukawashambulia Wanajeshi wake tena 'Makomandoo' kabisa na wengine wakakimbia na kukuachia 'Vifaru' vyao.

Nasikia 'Majasusi' wa Rwanda ni wazuri sana katika 'Kunusa' hatari na wala hawana mambo mengi, hawapendi 'Sifa', hawajihusishi mno na 'Siasa' za Rwanda bali Wao wanapambana tu Kuilinda Rwanda na Wanyarwanda wote.

Je, hii ina ukweli wowote labda? Na kama ni kweli ina maana 'Mafunzo' wanayopewa 'Majasusi' wa Rwanda ni tofauti na Nchi zingine zote za EAC?
Wanyarwanda huwa mnapenda kujitutumua sana. Hakuna nch east africa ukiondoa burundi inaweza kukaogopa kwa Rwanda. Nadhani kipindi kile Kikwete alifikisha ujumbe vizuri tu na akasikika. Acheni kujipa faraja na kujitengeneza kama simba wa makaratasi
 
Back
Top Bottom