Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Wale magaidi walivizia wapita njia wakapiga risasi na kukimbia kwenye aridhi ya Tz walikaa kwa dakika 20 tu wakatoroka na kama uliona ile picha ya mgombea wa CCM haikuwa ukutani hizo zingine ni propaganda tu za magaidi
Video sijaiona ipo ktk uzi gani
 
Kamuulize tu huyo Kikwete wako kama alijua anauweza 'Mziki' wa Kagame mbona alimwomba Hayati Mkapa na Team yake wampatanishe nae PK?
Kuhusu kupatanishwa ni kikwete kuambiwa ajishushe na mtu kama mkapa alikua na ushawishi, bila ivo mkapa angemjaza upepo kikwete rwanda saiv ingekua mkoa wa tz saiiv
 
huwezi kuihepa siasa aseee,siasa ipo kama maji,usipo yanywa utayaoga usipo yaoga utayafulia yaaani huwezi kuikwepa siasa
 
Nimesoma comments zote nahisi watu hawajelewa fasihi nzito iliyopo kwenye huu uzi. Nawashauri kwamba hebu muupitie tena kwa utulivu na umakini, msome kati ya mistari(between the lines) kisha tupate maoni ya kifasihi.

Fasihi ni pana na inategemea kila mmoja kaichambua vipi kazi husika na hiyo inaonyesha ubora wa "Fanani", ila kwa maoni yangu Rwanda kama Rwanda imetumika kuwakilisha hoja ya mahala fulani
Uko makini sana
 
Hakuna ujasusi usiohusisha siasa, unafikiri kwanini hali ya upinzani Rwanda ipo ilivyo? Alafu pia Rwanda ni nchi ndogo sana na rahisi sana kulinda mipaka yake kulinganisha na nchi kama Tanzania, Tumezungukwa na nchi nyingi zenye matatizo ya kiusalama lakini bado vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimefanikiwa tusipatwe na madhara.

Kutokea ambush za kihalifu inaweza kutokea popote, lakini hakuna anayeweza kuingia nchi hii na kumwaga damu za Watanzania akabaki salama. Hao waliotenda huo unyama tunaousikia WATALIPA! Africa na dunia inajua, ni ukichaa kuigusa Tanzania.
Duh nawewe kumbe zeroo HUJUWI kilicho andikwa aiseehh...

cc GENTA
 
PK aliposema juzi kwamba wale jamaa walifungiwa wahakikishe ule mshiko waingia kwenye chungu chetu na sasa naunganisha na hii mada naona taa mwisho wa tanuri.

Halafu likaja hili suala la huko pwani ya kusini kumefanyika shughuli kimyakimya hakuna media wala nini jamaa walikuwa wakisubiriwa waingie kwenye 18.

Ni kainchi kadogo lakini hatari sana.
 
Wanyarwanda wana comment na kupeana "like" wao kwa wao, halafu wanasema wao akili kubwa wanajua Fasihi ya Kiswahili kuliko sisi wabongo, Labda wangesema Fasihi ya Kitusi au Kihutu.

Unajibu comment hapa kumbe una chat na mtusi kudada deeeki buku 7 wa PK. Hiyo PK mkali haijaanza leo, toka miaka kibao imekuwa wimbo wa kitusi eti PK ana pua kali sana ya kunusa wabaya wake wakati wanapanga tu yeye kesha nusa. Hah ha ha shemeji zangu mmezidi.

Inaeleka na kule kuna buku 7 wa PK wamejaa humu wanahangaika sana, kila siku PK ana pua kali ya kunusa majasusi Afrka nzima yeye mkali So What? Kama yeye ni mkali ndio nini sasa?
 
Marehemu Simba wa vita mzee Kawawa wakati wa vita vya Kagera alishawahi kusema ''Vita havina nchi ndogo'' mwisho wa kunukuu.Ukubwa wa nchi sio hoja ona Mobutu alivyokuwa na jeshi dhaifu pamoja na ukubwa wa Zaire.

Ona Korea Kaskazini ilivyo ndogo hata mkoa wa Tabora pamoja na Mwanza ni mkubwa lakini anavyomtoa Mmarekani kamasi.
Kagame nchi yake ndogo sana but I am telling you that man is a brilliant and tactician solder askari mwenye akili na mbinu nyingi kwenye medani za kivita.
Bora 'Umewaelimisha' hawa Watanzania Mkuu kwani Wao wanadhani Vita ni ukubwa wako wa nchi tu. Tanzania haiiwezi Rwanda Kivita sasa 100%.
 
Hapa Afrika hakuna chombo cha ujasusi kilichosawa au zaidi ya TISS kiuwezo

Mimi mfuatiliaji sana wa mambo ya ujasusi ,anaefuatilia sana pia masuala hayo ataungana nami
Nakubaliana nawe Mkuu kuwa hawa SSIT hawana Mpinzani Afrika na pengine hata duniani. Sasa imekuwaje 'Uvamizi' wa Al Shabaab hawakuujua?
 
Kuhusu kupatanishwa ni kikwete kuambiwa ajishushe na mtu kama mkapa alikua na ushawishi, bila ivo mkapa angemjaza upepo kikwete rwanda saiv ingekua mkoa wa tz saiiv
Ninachojua kwa huu Ukanda Wetu ni nchi mbili tu ambazo zitaisumbua 'Kijasusi' na 'Kivita' Rwanda ambazo ni Uganda na Angola ila TZ ni Wepesi.
 
PK aliposema juzi wamba wale jamaa walifungiwa wahakikishe ule mshiko waingia kwenye chungu chetu na sasa naunganisha na hii mada naona taa mwisho wa tanuri.

Halafu likaja hili suala la huko pwani ya kusini kumefanyika shughuli kimyakimya hakuna media wala nini jamaa walikuwa wakisubiriwa waingie kwenye 18.

Ni kainchi kadogo lakini hatari sana.
Waambie Watanzania Wenzako hapa JamiiForums kuwa wasijaribu wala wasithubutu 'Kupigana' na Rwanda kwani Tanzania itakuwa tu Mali ya PK.
 
Wanyarwanda wana comment na kupeana "like" wao kwa wao, halafu wanasema wao akili kubwa wanajua Fasihi ya Kiswahili kuliko sisi wabongo, Labda wangesema Fasihi ya Kitusi au Kihutu.

Unajibu comment hapa kumbe una chat na mtusi kudada deeeki buku 7 wa PK. Hiyo PK mkali haijaanza leo, toka miaka kibao imekuwa wimbo wa kitusi eti PK ana pua kali sana ya kunusa wabaya wake wakati wanapanga tu yeye kesha nusa. Hah ha ha shemeji zangu mmezidi.

Inaeleka na kule kuna buku 7 wa PK wamejaa humu wanahangaika sana, kila siku PK ana pua kali ya kunusa majasusi Afrka nzima yeye mkali So What? Kama yeye ni mkali ndio nini sasa?
Mbona 'unateseka' sana hivi 'Swine' Wewe?
 
Mbona 'unateseka' sana hivi 'Swine' Wewe?
Ha ha naona sindano imeingiiiiiiia sasa haha wewe popoma tulia sindano iiingie halafu mi bye bye sikujubu tena . Hizi PK mkali mkali njoo na mada nyingine sasa, huna mada nyingue PK mkali kwao kule milimani sio huku.

Huyu Swine kama mimi hana mada nyingine kila siku hiyo hiyo PK mkali.
 
Nakubaliana nawe Mkuu kuwa hawa SSIT hawana Mpinzani Afrika na pengine hata duniani. Sasa imekuwaje 'Uvamizi' wa Al Shabaab hawakuujua?
Operations ambazo TISS wamefanya kwa umahiri kuilinda Nchi sio fair kuwalinganisha na Rwanda ambao hata waasi tu wanashindwa kuwatokomeza tena cha ajabu waasi wenyewe wapo ardhi za DRC na Burundi nchi zinazopakana kabisa na Rwanda
 
Nakubaliana nawe Mkuu kuwa hawa SSIT hawana Mpinzani Afrika na pengine hata duniani. Sasa imekuwaje 'Uvamizi' wa Al Shabaab hawakuujua?
Hao alshabaab Kama JWTZ wataingizwa Msumbiji wasubiri maafa kwao

Majeshi ya nchi za Afrika mashariki ukiachana na Burundi tu ni moto mkubwa na mbaya sana
 
Back
Top Bottom