FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,898
- 43,807
Hizi gari ni imara na zina 'off-road' capabilities, bila kusahau tutaokoa matrillioni ya fedha kwa kutotumia mashetani yanayobugia mafuta kwa Jina huitwa V8. JPM piga Mnada hayo mashetani yote, sio user friendly kabisa