Ukienda Law School Tanzania kwenye vyuo kuna wanawake wengi wanafanya vizuri sana. Lakini hata ukienda kwenye kampuni nyingi kubwa kuna corporate lawyers wazuri sana wanawake.
Kuna majaji wengi wanaume tumeona maamuzi yao yanabatiliwa na mahakama ya rufaa. Hivyo tuna majaji wengine ambao sio makini.
Sasa sielewi kwanini kila siku wanachaguliwa majaji wanaume?
1. Je, ni kweli wanachaguliwa ndiyo wanasheria makini kuliko wote?
2. Je, ni vigezo gani hasa wanatumia kuchagua majaji
3. Je, tuna uhakika kwamba majaji wanachaguliwa kwa kuzingatia uwezo na sio utamaduni?
4. Je, haki hasa za wanawake zitazingatiwa vipi kama hatuna uwakilishi wa majaji wanawake.
5. Je, kama kuna mapungufu yapo kwa wanasheria wetu wanawake ni yapi na kuna vitu gani tunafanya kutatua hayo mapungufu?
Mimi ni mwamini wa vipaji lakini siamini kabisa kwamba majaji wana chaguliwa kwa uwezo pekee nafikiri utamaduni dume wetu unachangia. Hizi tamaduni ndizo zinatuletea vilaza. Majaji tunatakiwa kuweka vipanga wetu tu
Hongera mkuu naona kwa kiasi limefanyika hiliVuta Subira Mama Analifanyia Kazi Atateua Tu Tena Wengi
Kongole kwako kwa kuliwaza hili na kufanyiwa kazi japo huenda lilikuwa lipo muda mrefu kabla au limebustiwa na bandiko lako.Nashukuru serikali na Mama kwa kunisikiliza kila nikiandika wanafanya🙏 Ingawa bado majaji ni wachache lakini mwanzo mzuri
Mama Hajatuanguasha Kamwe Ni Msikivu AnajuaHongera mkuu naona kwa kiasi limefanyika hili
Ukienda Law School Tanzania kwenye vyuo kuna wanawake wengi wanafanya vizuri sana. Lakini hata ukienda kwenye kampuni nyingi kubwa kuna corporate lawyers wazuri sana wanawake.
Kuna majaji wengi wanaume tumeona maamuzi yao yanabatiliwa na mahakama ya rufaa. Hivyo tuna majaji wengine ambao sio makini.
Sasa sielewi kwanini kila siku wanachaguliwa majaji wanaume?
1. Je, ni kweli wanachaguliwa ndiyo wanasheria makini kuliko wote?
2. Je, ni vigezo gani hasa wanatumia kuchagua majaji
3. Je, tuna uhakika kwamba majaji wanachaguliwa kwa kuzingatia uwezo na sio utamaduni?
4. Je, haki hasa za wanawake zitazingatiwa vipi kama hatuna uwakilishi wa majaji wanawake.
5. Je, kama kuna mapungufu yapo kwa wanasheria wetu wanawake ni yapi na kuna vitu gani tunafanya kutatua hayo mapungufu?
Mimi ni mwamini wa vipaji lakini siamini kabisa kwamba majaji wana chaguliwa kwa uwezo pekee nafikiri utamaduni dume wetu unachangia. Hizi tamaduni ndizo zinatuletea vilaza. Majaji tunatakiwa kuweka vipanga wetu tu
Pascal Mayalla hii hoja ya ndugu yetu imebase kwenye negativity zaidi hasa anapohusisha suala la Taaluma, weledi na utendaji dhidi ya jinsia hizi qaswida za usawa wa jinsia hazipaswi kutolea ili kupofusha ni lini Mamlaka ya uteuzi ifanye maamuzi yakukusudia kuridhisha kundi flani? Ndio yaleyale ya "Takwimu za waumini wa dini yakikristo hazihitajiki kwasababu serikali haina nia ya kujenga makanisa"Ukienda Law School Tanzania kwenye vyuo kuna wanawake wengi wanafanya vizuri sana. Lakini hata ukienda kwenye kampuni nyingi kubwa kuna corporate lawyers wazuri sana wanawake.