Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
muone kwandhaaa............uroho tu!!!
bathi kama wa tanga ntakupikia ugali wa muhogo....mie nakaa pale chumvini, njia panda ya kwenda kisosora!!!
maumivu dha kichwa huanza pole polemuone kwandhaaa............uroho tu!!!
bathi kama wa tanga ntakupikia ugali wa muhogo....mie nakaa pale chumvini, njia panda ya kwenda kisosora!!!
kumbe sio shombo ninayoijua mimiusiombee....utakimbiwa nakila mtu...si unaoitaga kule ferri - huzibi pua hiyo au kukereka?
Ah kumbe ni wa kwetu? Hilooooo, basi na uroho wangu ntakuja mapema mapema kuja kula....na hapa naenda kutafuta dawa ya kuharisha ili nisafishe tumbo by the time nakuja kwenu kula niwe nina njaa ya kula ndoo nzima ya ugali wa muhogo:yo:
kumbe sio shombo ninayoijua mimi
shombo ile nzuri,shombooo ipi ile mbona nashindwa kuitaja shombooo shom....ngoja nikumbuke ntakwambiaunaijua ipi wewe?
shombo ile nzuri,shombooo ipi ile mbona nashindwa kuitaja shombooo shom....ngoja nikumbuke ntakwambia
mapema mapema wapi banaaa.........we si unajua jadi za wazigua......msosi wa mchana waanza kupikwa saa kumi jioni!!!
so chelewachelewa mwaya.............
ahahahaaaaaaaaaa eti nawe watoka kumoja na Mkereketwa_Huyu au saudari
tumia ginseng na gingko kwa sana upate kumbukumbu nzuri uje uniambie mwaya
CC MziziMkavu