Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,221
28,666
Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.

Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na mume kumwambia mama yake kuwa na subra. Nadhani huyu mama aliona kelele za mbali hazifanyi kazi, akamwomba mwanae amtumie nauli aje awasalimie hivo akasafiri na tangu mwezi wa 6 yupo pale nadhani alikuwa anataka ashuhudie tumbo likinyanyuka akiwa pale pale.

Sasa kisa cha ugomvi ni nini? Unaambiwa tangu afike ni kelele hizohizo, sasa jana binti kamfuma mama anamwambia mwanae "Au uoe mke mwingine mwanangu?" Binti hakutaka kupepesa akamrukia mama na kumpa mabanzi ya mashavu ya maana. Mama kizunguzungu chali.

Mwenye mama kaghadhibika kamrukia mke. Kwanini unanipigia mama yangu wakati mimi nakuvumilia na maneno mengi mengi. Ndio hivo ugomvi ukawa ugomvi mpaka majirani kwenda kuamua.
 
Ni tukio limetokea Jana jioni hapa Uyole....Ndoa Ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito....sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo ....nataka mjukuu nataka mjukuu,mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.

Ni mama mkwe Ivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na mume kumwambia mama yake Kuwa na subra.....nadhani huyu mama aliona kelele za mbali hazifanyi Kaz,akamwomba mwanae amtumie nauli aje awasalimie Ivo akasafiri na tangu mwez wa 6 yupo pale nadhani alikuwa anataka ashuhudie tumbo likinyanyuka akiwa pale pale.....sasa kisa Cha ugomvi ni nn....unaambiwa tangu afike ni kelele hizohizo,sasa Jana binti kamfuma mama anamwambia mwanae "au uoe mke mwingine Mwanangu?" Binti hakutaka kupepesa akamrukia mama na kumpa mabanzi ya mashavu ya maana...mama kizunguzungu Chali...mwenye mama kaghadhibika kamrukia mke ...kwanini unanipigia mama yangu wakati Mimi nakuvumilia na maneno mengi mengii....Ndo ivo ugomvi ukawa ugomvi mpaka majirani kwenda kuamria.
WALISHAENDA KUPIMA IKAJULIKANA NINI SHIDA? TUJUE CHANZO KWANZA
 
Ila mambo mengine yanakera jamani, kwani wazazi wakiacha kuhangaika na ndoa za watoto wao watapungukiwa nini? Vipi kama huyo bi dada ndo angekua mtoto ake angemuambia mkwe wake amuache mwanaye kisa hazai?
Na hapo ukute mwanaume ndo anashida.
Umeona cute, wanafuatilia mno. Ona sasa kakutana na mwanamke Mandonga🤦
 
Ni tukio limetokea Jana jioni hapa Uyole....Ndoa Ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito....sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo ....nataka mjukuu nataka mjukuu,mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.

Ni mama mkwe Ivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na mume kumwambia mama yake Kuwa na subra.....nadhani huyu mama aliona kelele za mbali hazifanyi Kaz,akamwomba mwanae amtumie nauli aje awasalimie Ivo akasafiri na tangu mwez wa 6 yupo pale nadhani alikuwa anataka ashuhudie tumbo likinyanyuka akiwa pale pale.....sasa kisa Cha ugomvi ni nn....unaambiwa tangu afike ni kelele hizohizo,sasa Jana binti kamfuma mama anamwambia mwanae "au uoe mke mwingine Mwanangu?" Binti hakutaka kupepesa akamrukia mama na kumpa mabanzi ya mashavu ya maana...mama kizunguzungu Chali...mwenye mama kaghadhibika kamrukia mke ...kwanini unanipigia mama yangu wakati Mimi nakuvumilia na maneno mengi mengii....Ndo ivo ugomvi ukawa ugomvi mpaka majirani kwenda kuamria.
Hapo na ndoa imekufa. Umpige mama mbele yangu. Its over.
 
Ni tukio limetokea Jana jioni hapa Uyole....Ndoa Ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito....sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo ....nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.

Ni mama mkwe Ivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na mume kumwambia mama yake Kuwa na subra.....nadhani huyu mama aliona kelele za mbali hazifanyi kazi, akamwomba mwanae amtumie nauli aje awasalimie Ivo akasafiri na tangu mwez wa 6 yupo pale nadhani alikuwa anataka ashuhudie tumbo likinyanyuka akiwa pale pale.....sasa kisa Cha ugomvi ni nn....unaambiwa tangu afike ni kelele hizohizo,sasa Jana binti kamfuma mama anamwambia mwanae "au uoe mke mwingine Mwanangu?" Binti hakutaka kupepesa akamrukia mama na kumpa mabanzi ya mashavu ya maana...mama kizunguzungu Chali...mwenye mama kaghadhibika kamrukia mke ...kwanini unanipigia mama yangu wakati Mimi nakuvumilia na maneno mengi mengii....Ndo ivo ugomvi ukawa ugomvi mpaka majirani kwenda kuamria.
Ni rahisi kupata baraka za wazazi na rahisi kupata mikosi kutoka kwa wazazi, mwanaume akishaoa na kujitegemea hapangiwi.

Wazazi wako wakija kwako unapaswa uwaheshimu lakini nao wawe na adabu na nidhamj na mji wako kama ulivyokuwa unakaa kwao.

Ushauri na mawazo yao yasikilize lakini kama ni ya kijinga na kipumbavu waambie wazi wajue lakini si kuwapiga(huo ni utovu wa nidhamu).

Zaidi mama yako hana mamlaka juu yako ukishakuwa na familia lazima atambue nafasi yake na mipaka yake kama mama na mzazi. Atambue si kila atakalotaka na kuomba ni lazima apewe na asijisahau aelewe na yeye ni mke wa mtu(mke wa baba yako).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom