Je Ni Haki

kama kitendo cha kuwatembeza uchi kinalalamikiwa, VIPI KUKATWA MIKONO?, MAANA HIYO ISSUE INGEFIKA KWA KADHI NA USHAHIDI WA ZAIDI YA WATU WATATU UPO, NADHANI HAO JAMAA SASA HIVI WANGEKUWA NA MKONO MMOJA MMOJA


Ama wewe jina lako linakufaa hasa! Nani aliyekwambia Kadhi anashughulikia masuwala ya jinai? Kama hujuwi ni bora kuuliza usilete vituko.
 
Je hao wevi nao wanayo haki ya kuwashtaki walio wavua nguo hadharani!?
 
Back
Top Bottom