Je, ni fani ipi kati ya hizo nne ambayo itakuwa na wepesi wa kupata re-cartegorization

selemangrace346

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
450
613
Wakuu habari!!Naomba ushauri mm ni mtumishi wa serikali(mtendaji wa kijiji mojawapo katika halmashuri flani ), kwa sasa nipo najiendeleza ki elimu katika shahada ya kwanza ya usimamizi wa biashara(Bachelor of bussines administration), Nlikuwa naomba ushauri kwa wazoefu na wabobezi kwani Ipo wazi shahada hii inatoa option ya kuchagua fani mojawapo kati ya nne uwapo mwaka wa pili Ambazo ni Finance and Accounting, Procurement,Marketing na Human resource.Je,ni fani ipi kati ya hizo nne ambayo itakuwa na wepesi wa kupata re-cartegorization kwa maana ya kuwa nauhitaji mkubwa lakini pia yenye fursa ya kutengeneza pesa kwa maana ya marupurupu mingiiii .?
 
Finance and Accounting
 
Back
Top Bottom